Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Japokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu
Mbona umepanic Mrembo?Hawa kama ni wapenzi wa muda mrefu na huenda jamaa kajipanga kumwoa na wamekubaliana hivyo.Huyo dada ndoa kwake ndiyo imeishia hapo maana damu ya mjamaa itamdai milele
 
Ndo hasara yenu kutembea Na visichana vya chuo .Kama we mwanaume tafuta mwanamke sio mschana...Sasa hapo utakuta simu aliinunua na bado kasababishiwa kifo kwa hiyohiyo simu!
Kitu ambacho vijana hawajui....Mschana ni MTU alieopo mawindoni kusema utamdhibiti ni ngumu sababu bado anachagua na ktk huko kuchagua hawezi kuwa na mmoja sasa madogo wakiitwa Baby uko peke yako na wenyewe wanaamini waschana niwakugegeda nakuacha Ukitaka kuoa muache amalize Chuo aingie mtaani kasheshe atakazokutana nazo akimpata MTU hata kama ataendeleza ujinga lkn atakuwa anajua kinachoendelea Tatizo maisha ya chuo watu wanaigiza zaid
 
Kuchukua mali ya mtu bila ridhaa yake ni wizi... R.I.P mwanafunzi... Hayo hayakuwa mapenzi. Yalikuwa maigizo ya mapenzi...
 
Hadi sasa hakuna ukweli ilio julikana zaidi ya kila mtu kuongea lake,
Wengi wanamtetea huyu jamaa kwa usmart waje lakini ukweli kwa watu wanao mjua ni kwamba anatabia ya wizi, na amewahi kukamatwa miaka miwili iliyopita akijaribu kuiba laptop hostel hiyohiyo.
Tusi wazushie uongo madem wa SAUT kwa nature ya hili tukio huwezi sema ameuliwa na dem ila amejiua mwenyewe
 
Alafu jamaa sio mwanafunzi ila ana marafiki wengi hapa chuo na pia anaishi karibu sana na chuo
Wewe nae ni wale wale sasa umeambiwa alikuwa demu wake picha zipo wakiwa wote unachobisha nini?
 
very bad, kumuitia mwenzio mwizi ni roho ya uuaji.. bora hata angemtetea kuliko kumuacha akapigwa mpaka kufa..
sheria ifanye kazi yake..
wewe unaemtete hyu dada inabid nkuangalie mara 6 6.. cjui kama unaroho ya kibinadam..
sasa huyo mdada nae ataishia jela sasa kafaidika nini?
 
Wewe nae ni wale wale sasa umeambiwa alikuwa demu wake picha zipo wakiwa wote unachobisha nini?
Nipo SAUT na mjua marehemu na pia namjua demu wake huyo demu amemaliza chuo mwaka jana. Ww unakurupuka kusikia uzushi.
Tatizo la wabongo mnapenda udaku kuliko ukweli
 
very bad, kumuitia mwenzio mwizi ni roho ya uuaji.. bora hata angemtetea kuliko kumuacha akapigwa mpaka kufa..
sheria ifanye kazi yake..
wewe unaemtete hyu dada inabid nkuangalie mara 6 6.. cjui kama unaroho ya kibinadam..
sasa huyo mdada nae ataishia jela sasa kafaidika nini?

Word!
 
Wivu uwe nao kwa mkeo,mwanamke unaoshea rungu huo wivu unatoka wapi,pia kama kuhonga kunakuuma usimuhonge binti kitu chochote,kingine vijana wa siku hizi hawasikilizi nyimbo za kuonya za wazee wetu,wanasikiliza wabana pua,kuna wimbo wa Mbaraka Mwinshehe unawaonya wanafunzi kutokushiriki mapenzi kwani mnawatia hasara wazazi wenu,wivu haufai.
 
Mkuu hii tutathibitishaje

Mfuate Ukamuulize Huko Mortuary! Bado Nasimamia UKWELI WA TAARIFA KUTOKA KWA AFISA HABARI WA SAUT KUWA ALIYEFARIKI NI MWIZI NA KWA TAARIFA ZA WATU WA KARIBU KAMA HUYO ALIYEKUPA UKWELI WAKE NI KWAMBA HUYO MAREHEMU ALIKUWA NI MWIZI NA ANAJULIKANA. Sasa AMEPUMZIKA PANAPOSTAHILI. Siwezi KUACHA KUMWAMINI AFISA HABARI WA SAUT MWENYE UKWELI WOTE HALAFU NIKAWAAMINI MAPOPOMA NA WAMBEA MLIOTUKUKA.
 
Kilichomuuma zaidi ni kwamba hata hiyo simu ni yy ndio aliyemnunulia huyo demu,,,,ila SAUT watoto ni malaya jamani khaaaaaaaah kwa macho yangu na bado naendelea kushuhudia wakijiuza pala [HASHTAG]#rockbotton[/HASHTAG] goldcrest ni ukiwa unawachukua wanakuchunguza kama ww ni mwanafunzi au laaah,kama mtu yupo mwanza atakubaliana na mm na ulevi wao uwe unatembelea hata vits ya kuazima unaweza kwichkwich hata na hostel nzima,ila kwa mm nashukuru kwa umaharage ya mbeya kwa hao mabinti nafanikisha shughuli zangu
 
Mkuu almanusra unichekeshe hapa msibani!
Ila naomba upitie comments za wadau kwa umakini,marehemu sio mwanafunzi kama popoma alivyosema,mnyonge mnyongeni lakini hapa popoma ana hoja.
Na ukumbuke naye ni mwanafunzi aliyesomea hapo pia.

Mbona HATUALIKANI Huko Msibani?
 
Back
Top Bottom