Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Vyuo vyote hivyo vinafundisha mass communication.

Kwa Post Yako Hii UTAJIITA Wewe Ni MSOMI KWELI? Natamani Nikijue Chuo Kikuu Chako ULICHOSOMA Ili NIKIDHARAU Na NIKIPE POLE KWA KUTOA MHITIMU POPOMA WA KIWANGO CHA KUTUKUKA KAMA WEWE. Kwa KUKUSAIDIA Tu Nenda TCU Na NACTE Ukapate UFAFANUZI WA KITAALAM Kwanini VYUO VIKUU VYOTE Vinafundisha KOZI YA MASS COMMUNICATION Na Siyo JOURNALISM Halafu Pia Utaambiwa Ni Kwanini Hivi Vyuo Vyote Vya Kati Vilivyo Chini Ya NACTE Vya NTA Level 4 Hadi 5 Vinafundisha Tu Kozi Ya JOURNALISM. UPOPOMA Wako Huu Ndiyo UNANIFANYA Hata Nikiwa Nje Ya TANZANIA Nisiseme Kuwa Ni MTANZANIA Kwani Huko Kwa Wenzetu WALIOENDELEA TUNADHARAULIKA Mno Simply Because Tuna ULEMAVU WA KUTOKUJUA KUFIKIRI Hadi WALIOENDELEA WANAFIKIRI KWA NIABA YETU.
 
Mkuu twende taratibu huenda nikapata ukweli tukio zima lilikuwaje mpaka jamaa akauawa.
Tumia hizi fact kuelewa ukweli.
1)hostel za ndani mgeni mwisho saa 6 jioni na tukio lili tokea saa 9 usiku.
2)marehemu sio mwanafunzi wala muhitimu wa saut
3)siku ya tukio marehemu alikutwa hapo hostel ya wanawake na ilipo itiwa mwizi alikimbia.
4)anaye semekana kuwa ameibiwa hadi sasa hajapata simu yake
5)mwanamke anaye onekana kwenye picha akiwa na marehemu amemaliza chuo mwaka uliopita
6)marehemu ameshakamatwa mara moja akijaribu kuiba laptop hostel hiyo hiyo.
Kazi ni kwako
 

Sasa Kwanini UFAFANUZI Wako Huu Wa KINAFIKI Hukuusema Tokea Pale Mwanzo Hadi Nilipokupa MAKAVU Ndiyo Sasa Umeamua KUFUNGUKA? au Ulidhani Wenye SAUT Yetu TUMELALA? Hicho CHUO CHA SAUT NAKIPENDA HADI NATAKA KUKUFURU Kwani KIMENIPIKA KWA KUTUKUKA Na SITAKUBALI Niingie KABURINI Kabla SIJAKICHANGIA KWA CHOCHOTE KILE Kama AKHSANTE YANGU KWAKE. WAHADHIRI WAZURI, MAZINGIRA YA KUSOMEA NI MAZURI, NIDHAMU IMETUKUKA HALAFU WANAJUA MNO KUMJENGA MWANAFUNZI ILI AKITOKA HAPO CHUO AWE " LULU " Na AGOMBANIWE HUKO SERIKALINI Hadi Katika TAASISI. Viseme Vyuo Vikuu Vyote Ila SAUT Yangu Niachie Mwenyewe.
 

Muovu Yake Mauti. Tunamtakia Kila La Kheri Huko Atakapozikwa!
 
Ila miaka imebadilika mkuu na watu wanakuja wa kila dizaini watu kufundishwa nidhamu sio kwamba ndio watakuwa wema,Mkuu mm nafanya nao biashara waone tu wanavaa visketi vyao ila usiku ni tofauti na uwajuavyo.
 
Aisee inasikitisha sana huyo mwanamke atakuwa na kosa la kusababisha hayo mauaji.ni kosa kubwa sana kumpigia kelele za mwizi mtu,mie nilishalala lupango kwa kosa kama nilijua najiokoa kutoka ktk kibano cha jamaa kwa kupiga kelele za mwizi kumbe nilikuwa natenda kosa bila kujua ilikuwa usiku kilichosaidia mitaa niliyokuwa nakaa ni wenye nazo walinzi wakanzaa mkutembezea kibano jamaa alijitambulisha mimi baba fulani ndio nusura yake ila alikatwa na panga mkono ingawa halikumfanyia madhara makubwa.nilikomaa sitarudia tena.tena nawaasa wanawake wenzangu kama tunatafuta msaada ni bora tupige kelele tu.tusitamke mwizi.
 
Hapo kwenye rangi ya bluu nikashangaa marehemu amekamatwa, kumbe ulikuwa unaelezea tukio la nyuma, dah!
 
ufukunyuku mwingine bana, sasa simu si yako unapekuapekua kutafuta nini? tena bila hata kujistukia eti unaibeba, ni yako?? BTW pole mhusika!!
kama amepewa cha ndani
Kabisa na anakitoboa simu kitu gani,kademu kamalaya tu.meseji tu umuitie mtu mwizi angesema ukweli mshikaji aamue.au twajuaje kama mshkaji ndio alinunua simu all in namtakia kifo chema
 
Sasa mkuu, certificate tu uliyosomea saut ndio inakupa mbwembwe hivi! Vipi kama ungechukua bachelor pale? Halafu unaonekana umemaliza miaka miwili au mitatu nyuma kutoka sasa.
 
Tena which is which marehemu hawezi kujitetea
 
Kitendo cha kumtoa uhai mtu mwingine si sawa ni adhabu kubwa sana. Lakini habari nilizosikia kupitia Milard Ayo jana usiku alikuwa akiripoti sikumbuki cheo chake laki ni mfanyakazi wa chuo, ni kwamba marehemu ni kweli alikuwa mwizi na aliiba simu kwenye nyumba vingine viwili vya wanafunzi wa kike kabla hajanyakwa kwenye chumba cha tatu. Mdada alikuwa anaibiwa alianza kupiga kelele ndipo jamaa akakamatwa na kipigo cha kutosha kisha kuhojiwa kisha kupelekwa kituo cha polisi ambapo pia maelezo yake yalichukuliwa na kukiri aliiba simu. Lakini sikumbuki vizuri kama siku hiyihiyo au siku inayofuatia jamaa alifariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa majeraha ya kipigo alichopata kwa wanafunzi. Hivyo kama huu ndio ukweli wenyewe basi msimtie ubaya huyo dada.
 
Mkuu Jongwe ina maana huyo dada alipiga picha na mwizi sio?
Au picha zilizotumwa humu ndani sio za huyo binti na huyo 'mwizi'?!
 
Kanzisha thread ya kanusho mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…