Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Ni HABARI YA UWONGO MTUPU KWANI MUDA SI MREFU UONGOZI WA CHUO CHA SAUT KUPITIA AFISA HABARI WAKE BWANA KOMU UMEKANUSHA VIKALI KUTOKEA KWA KIFO CHA MWANAFUNZI. UKWELI NI KWAMBA KILICHOTOKEA HUYO MWANAMKE ALIKUWA AMEKWENDA KUOGA BAFUNI NA ALIPORUDI AKAKUTA MTU ASIYEMJUA ANATOKA CHUMBANI KWAKE NA ALIPOINGIA NDANI NDIPO AKAKUTA SIMU YAKE HAIPO HIVYO IKAMLAZIMU APIGE KELELE ZA MWIZI NDIPO WANAZENGO NA WANAFUNZI WALIPOMKIMBIZA HUYO KIJANA KIBAKA, KUMPIGA HADI UMAUTI KUMKUTA. KWA UKWELI WA TAARIFA HII INGIA MTANDAO WA MILLARD AYO HUYO AFISA HABARI WA SAUT AMEFUNGUKA KILA KITU. TUJIFUNZE KUACHA " UZUSHI ".

Mkuu GENTAMYCINE hapo kwenye blue hebu tupe ukweli ULIOTUKUKA, huyo binti hakumjua huyo mgeni(marehemu, RIP) au afisa habari kaongea uongo ULIOTUKUKA baada ya kupewa habari ZISIZOTUKUKA?
 
99% ya mapenzi ya vyuoni ni ya uwongo, usije jitia ujinga kwa kuweka mapenzi ya kweli kwa mwanachuo!! ni mapenzi ya temporary na ukijua hilo utapata shida. Bila shaka kifo cha huyu hakitatoka akilini kwa mwanamke maisha yake yote.
 
Sasa Kwanini UFAFANUZI Wako Huu Wa KINAFIKI Hukuusema Tokea Pale Mwanzo Hadi Nilipokupa MAKAVU Ndiyo Sasa Umeamua KUFUNGUKA? au Ulidhani Wenye SAUT Yetu TUMELALA? Hicho CHUO CHA SAUT NAKIPENDA HADI NATAKA KUKUFURU Kwani KIMENIPIKA KWA KUTUKUKA Na SITAKUBALI Niingie KABURINI Kabla SIJAKICHANGIA KWA CHOCHOTE KILE Kama AKHSANTE YANGU KWAKE. WAHADHIRI WAZURI, MAZINGIRA YA KUSOMEA NI MAZURI, NIDHAMU IMETUKUKA HALAFU WANAJUA MNO KUMJENGA MWANAFUNZI ILI AKITOKA HAPO CHUO AWE " LULU " Na AGOMBANIWE HUKO SERIKALINI Hadi Katika TAASISI. Viseme Vyuo Vikuu Vyote Ila SAUT Yangu Niachie Mwenyewe.
 
huyu marehemu aliwah kunusurika kifo huko huko rugambwa hostel mwaka 2011,alijifanya mwanafunzi na kuzoeana sana na wasichana.aliiba laptop na kukimbilia kwao pale nyamalango,nzengo ilimtetea sana.huwez kuamini kwa maramoja tu katika mia mmoja aseme huyu ni mwizi,ila polisi wana taarifa zake nying za wizi.
wakati ameitiwa mwizi na kuanza kukimbia,alikuwa na kisu na kuwatishia mabinti waliokuwa wanamkimbiza.
mie mwenyewe nilikuwa najua ni mwanafunzi aisee, na wengi tulikuwa tunafahamu hivyo kumbe jamaa magumashi! hata hivyo pale sauti huwa kunawanafunzi fake huwa wanalandalanda mitaa ya nyamalango ili wawanase kirahisi warembo wa kwenye masaloon, stationary na wananzengo.
 
kuna mmoja mwanafunzi mmoja wa SAUT nilimpata club jana ,nikamrudisha chuoo baada ya kunywa bia zangu za kutosha leoo nina ahadi ya kumtoa tena out;ila kwa tikio hili roho imesita kidgoo siwezi kwenda tena chuoni kwakoo tutamalizana huku hukuu
 
View attachment 325893Ukweli ni kwamba huyo jamaa na huyo demu ni wapenzi wa mda mrefu.,,na pia jamaa sio mwanafunzi ni raia wa kawaida anayehusika na mambo hasa ya modeling na amekuwa akiandaa event mbalimbali kama mtakuwa na kumbukumbu vizuri kuna kipindi kulitokeaga shindano la MISS ALBINISM lililofanyika Mwanza huyu jamaa alikuwa miongoni mwa wahusika wa hilo shindano,na siku tatu zilizopita huyu jamaa alitoka kumzika baba yake mzazi.

Kilichotokea hapo ni baada ya jamaa kwenda hostel za wanawake ambazo zipo ndani ya chuo ambapo ndipo alipokuwa akiishi huyo demu wake, katika kukagua simu ndipo akakuta sms za utata,ukatokea ugomvi katika mabishano demu akasema atamwita mwizi kama utani kweli demu akaita mwizi.

Jamaa kwa kuogopa na sababu hakuwa na kitambulisho ndipo akatoka mbio,hapo ndipo alipoharibu wananzengo na wanachuo bila kujali wakaanza kupiga na mpaka wanafika polisi alikuwa kapigwa sana,alipelekwa kituoni kutoa maelezo.Baada ya hapo ndipo tukapata taarifa kafariki na hiyo ni sababu ya kipigo.

Kinachofanywa na uongozi wa chuo ni kutaka kuonesha huyo binti hana makosa ili kuondoa uhasama na wananzengo ila ukweli utabaki kuwa huyo jamaa na mwanamke walikuwa wapenzi.
Ina huzunisha sana, poleni kwa wafiwa, mabinti jamani tamaa ni mbaya sana, siku hizi vyuoni kumekuwa na umalaya kuliko hata kwa ma baa maid? Kwa nini ukatili kama huu? Inasikitisha.
 
Tumia hizi fact kuelewa ukweli.
1)hostel za ndani mgeni mwisho saa 6 jioni na tukio lili tokea saa 9 usiku.
2)marehemu sio mwanafunzi wala muhitimu wa saut
3)siku ya tukio marehemu alikutwa hapo hostel ya wanawake na ilipo itiwa mwizi alikimbia.
4)anaye semekana kuwa ameibiwa hadi sasa hajapata simu yake
5)mwanamke anaye onekana kwenye picha akiwa na marehemu amemaliza chuo mwaka uliopita
6)marehemu ameshakamatwa mara moja akijaribu kuiba laptop hostel hiyo hiyo.
Kazi ni kwako
Mpaka nimeelewa kuwa mmeua kizembe tena kwa kukurupuka pengine hiyo picha sio ya binti muhusika ila nakubaliana na wengine kuwa huyo kijana kauawa kwa sababu ya mapenzi suala kwamba alishawahi kuiba laptop ni njia ya kutaka kujitoa kwenye kesi marehemu aonekane ni mwizi mzoefu, tatizo vijana mnasoma social ethics, critical thinking lakini hazisaidii akili zenu zinawaza kubet na ngono tu ndio maana mnafanya maamuzi ya kukurupuka kama hayo endeleeni kuteteana.
 
Uzushi ni upi mtu si ameuawa uongozi wa chuo unafanya hivyo kumtetea huyo mwanafunzi lakini hao walikuwa wapenzi na kuna picha wapo pamoja sasa hilo la uzushi sijui linatoka wapi?

Njia pekee ya kujua kama walikuwa wapenzi au la, ni kutolewa namaba za simu za binti na jina.Tuna check "call history" zao. Kama kulikuwa na mawasiliano kati yao,Binti atakuwa na kesi ya kujibu.
 
Hiki chuo kingeitwa Augustine tu hiyo saint ingetolewa, kuna vitu vya ajabu ajabu mno.
 
Sasa mkuu, certificate tu uliyosomea saut ndio inakupa mbwembwe hivi! Vipi kama ungechukua bachelor pale? Halafu unaonekana umemaliza miaka miwili au mitatu nyuma kutoka sasa.

Hapa Nilipo Tu Namalizia Kuandika DISSERTATION Yangu Ya M.A. Na Kama Mambo Yakienda Vizuri Kati Ya November Mwaka Huu au Mwakani 2017 Nitakuwa Nahitimu Baada Ya Hapo Miaka Mitano Ijayo Kama SITAKUFA Kwa UKIMWI au AJALI au ZIKA Nategemea Kama Si Kumaliza au Kuanza PhD Yangu. Utake Usitake Kuna UWEZEKANO Mkubwa Sana Mwaka 2035 UKANICHAGUA Kuwa Mbunge Wako au Rais Wako Wa Hii Nchi. Hakuna Nchi Nyepesi Kuupata Urais Kama Tanzania Hivyo Kupitia Chama Changu NITAKUTAWALENI Tu. Itunze Hii Post Yangu Na Mwaka 2035 YATATIMIA Haya. Na Cha Kufurahisha Zaidi Degree Yangu Nimeichukulia SAUT, Masters Yangu Naimalizia SAUT Lakini Hata PhD Yangu Nayo Nitaifanyia SAUT. Sijui Una Jingine Tena Labda? Nifah Hawa Watu Huwa Mnawatoa Wapi?
 
Kitendo cha kumtoa uhai mtu mwingine si sawa ni adhabu kubwa sana. Lakini habari nilizosikia kupitia Milard Ayo jana usiku alikuwa akiripoti sikumbuki cheo chake laki ni mfanyakazi wa chuo, ni kwamba marehemu ni kweli alikuwa mwizi na aliiba simu kwenye nyumba vingine viwili vya wanafunzi wa kike kabla hajanyakwa kwenye chumba cha tatu. Mdada alikuwa anaibiwa alianza kupiga kelele ndipo jamaa akakamatwa na kipigo cha kutosha kisha kuhojiwa kisha kupelekwa kituo cha polisi ambapo pia maelezo yake yalichukuliwa na kukiri aliiba simu. Lakini sikumbuki vizuri kama siku hiyihiyo au siku inayofuatia jamaa alifariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa majeraha ya kipigo alichopata kwa wanafunzi. Hivyo kama huu ndio ukweli wenyewe basi msimtie ubaya huyo dada.
Huyo Afsa habari lazima afanye hivyo kumtetea huyo binti na hao wauawaji usitegemee aseme jamaa hakuwa mwizi kufanya hivyo maanake yule binti wale vijana waliohusika wakamatwe kwa kosa la mauaji.
 
SAUT ni chuo kinachoongoza kuwa na makahaba wengi wasichana wengi wanajiuza unakuta binti ana wanaume hata sita na bado usiku anaenda kutega mjini villa na kwingineko.
 
HUYO MAGGE NOW KAKIMBIA CHUONI POLISI WANAMSAKA KAMA KUNA MSAMARIA MWEMA ATAKAYEWEZA KUFANIKISHA KUMPATA ANAOMBWA AWASILIANE NA JESHI LA POLISI

Kumtafuta mtu kwa jina bila picha ni ngumu sana kumpata, ungeweka picha ingesaidia sana.
 
Mkuu GENTAMYCINE hapo kwenye blue hebu tupe ukweli ULIOTUKUKA, huyo binti hakumjua huyo mgeni(marehemu, RIP) au afisa habari kaongea uongo ULIOTUKUKA baada ya kupewa habari ZISIZOTUKUKA?

Ukisema AFISA HABARI WA SAUT Kaongea UWONGO Ni Sawa Na KUITUKANA TAALUMA Yangu Ya PRO au CORPORATE COMMUNICATION MANAGER Ambayo INAHESHIMIKA NA KUKUBALIKA KWA KIASI KIKUBWA MNO KOTE DUNIANI. Kabla Sijakujibu Maswali Yako Naomba Kwanza UTUOMBE RADHI WANA MAAFISA MAHUSIANO / HABARI WOTE KWA KUTUDHALILISHA KUWA SISI NI WAONGO Otherwise Nikirudi KIVINGINE Hutafurahia Mkuu.
 
SAUT ni chuo kinachoongoza kuwa na makahaba wengi wasichana wengi wanajiuza unakuta binti ana wanaume hata sita na bado usiku anaenda kutega mjini villa na kwingineko.

Hata Mtaa Unaoishi Familia Yenu Nayo Ndiyo Inasemekana Inaongoza Kwa Kutoa MABINTI MAKAHABA Kiasi Kwamba Hadi Mmetengwa Na Majirani.
 
sijui watu wanayachukuliaje mapenzi nowdays,simu ni kitu gani mpaka kikikusababishie kifo watu wanaonga magari na nyumba juu still wanadanganywa just leave that shit behind and walk away
Hakuchukua cm, kwa kuwa alitaka iwe yake au amnyang'anye huyo mwanamke, alimwambia anaenda kuzingunguza vizuri hizo msg. alikuwa na maana yake. Hata hao wanao honga magari unafikiri hawaumii wakisalitiwa? Mkuu usione vichaa wengi mjini, wengi wanateswa kwa usaliti na dhuluma.
 
SAUT ni chuo kinachoongoza kuwa na makahaba wengi wasichana wengi wanajiuza unakuta binti ana wanaume hata sita na bado usiku anaenda kutega mjini villa na kwingineko.

Hata Mtaa Unaoishi Familia Yenu Nayo Ndiyo Inasemekana Inaongoza Kwa Kutoa MABINTI MAKAHABA Kiasi Kwamba Hadi Mmetengwa Na Majirani.
 
Hakuchukua cm, kwa kuwa alitaka iwe yake au amnyang'anye huyo mwanamke, alimwambia anaenda kuzingunguza vizuri hizo msg. alikuwa na maana yake. Hata hao wanao honga magari unafikiri hawaumii wakisalitiwa? Mkuu usione vichaa wengi mjini, wengi wanateswa kwa usaliti na dhuluma.
Mkuu acha kutetea ujinga hakuna justification yoyote zaidi ya huyo jamaa kutaka kuchukua simu ambayo tayari sio yake maana alishaihonga anza kujipenda mwenyewe then tofautisha maisha na vitu kama simu au anything then mchukulie mpenzi kama kitu cha mpito huna hati miliki yake utagundua your life has more value than the rest mfano binafsi nakaribia 30 years sijaona kipya kwa mwanamke yoyote they are the same with different attitudes
 
Back
Top Bottom