Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

aisee hivi vikojoleo shida sana, sasa huyo naye japokuwa kafa ila ni boya kweli sasa kaibeba simu ili imwambie kuwa sms za nani?, kwani alimkuta bikra huyo binti? tuwivu twingine majanga tu, unakufa kisa sms ya mshikaji sasa hapo ndo kamwachia mshikaji ajibebee mzigo kiulainii.
 
Sasa Nitakujibu Kitu Ambacho Hata Maana Yake Tu Hujui Mkuu? Yaani UKUBWA Wote Huo Na Hivyo Bichwa Lako Lilivyo KUBWA Kama Jiwe La FATUMA Kutafsiri Tu Na Kuweka Katika Maana NYOOFU Neno Public Relations Officer au Corporate Communication Manager KUNAKUSHINDA Mkuu? Sasa Nitakusaidiaje Unadhani?

Rejea post yangu [HASHTAG]#177[/HASHTAG] nimeshakujibu tayari. Tatizo unadhani unajua kila kitu kuliko wote hapa JF na hauko tayari kukosolewa. Besides I can't continue arguing with a contumacious dumbbell like you.
 
Kwangu mimi nakuchukulia kama mwehu, taahira, chizi tu na nilishakupuuza kitambo sana.

Wakati Ukinichukulia Mwehu, Taahira Na Chizi Lakini Nchi Yako TUKUFU Inanitegemea Kwa Mambo Mbali Mbali Tena Ya KUTUKUKA Na Nimeisadia Nchi Yako Hii Kuliko Hata Wewe Na KOO Zako Zote Mbili Mlivyoisaidia TANZANIA. Na Ni Uchizi, Uwehu Na Utaahira Wangu Huo Huo Unaonifanya NITAMBE KATIKA NCHI MBALIMBALI ULIMWENGUNI Kuifanyia Kazi Tanzania Yako Hadi Sasa MNATAMBULIKA Na KUTHAMINIKA. Mwehu, Taahira Na Chizi Anaweza KUBEMBELEZWA Na Anayekutawala Kuifanyia KAZI Tanzania Yenu Hii? Ili Unijue Vizuri Ili Siku Nyingine Uwe Na Heshima Na Mimi Nakukaribisha Kesho Pale VIP Lounge JNIA Saa 6 Mchana Tufahamiane Kwa Haraka Haraka Kabla Sijapanda Mbun'go Kumpelekea Barua Museveni Kisha Nikirudi Napitia Kigali Kwa Mbabe Wenu Kagame Na Jumanne Saa 3 Narejea Tena Dar. Ila Ufahamu Tu Kwamba Hata Ukija Hiyo Kesho Kuonana Na Mimi Hutapeana Kwanza Mkono Wa Salamu Nami Hadi Mbwa MAALUM Wakukague Ili Usije Ukawa Umetumwa Na Una BOMU Uniangamize Halafu East Africa Na HASA HASA WATUTSI Na WAHIMA Walikose Jembe Lao LILILOTUKUKA. Naomba Uniambie Utavaaje Kesho Kama Utakuja Kuonana Na Mimi Ili Niwataarifu Wenye JUKUMU La Kuangalia USALAMA Wangu Wasije Kukusumbua. Na Si Vibaya Pia Wewe Ambaye Siyo Mwehu, Taahira Na Chizi UKANIWEKEA Hapa MAFANIKIO Yako KIMAISHA Hadi Sasa Ili Nijue Hata UKIFA Wana Afrika Mashariki Na Kati WATAKUKUMBUKAJE.
 
UKWELI NI KWAMBA HUYO JAMAA ANAIIYWA JUSTUS ALIKUA NI MWANAFUNZI WA SAUT ALIMALIZA MWAKA 2013 KWA HIVO NI ALUMNI WA SAUT. TANGU YUPO CHUO ALIKUA ANAPENDA MASWALA YA MODELLLING NA FASHION ALIPOMALIZA CHUO ALIKUA ANASOMEA UALIMU(DUCE) AKAACHA KWENDA KUFUNDISHA AKAJIKITA KWENYE MODELLING ..HAPO HOSTELI ZA RUGAMBWA ALIKUA ANA MWANAMKE WAKE ANAITWA MAGGE ..SASA SIKU YA TUKIO AKAENDA KUMTEMBELE A HOSTEL. DEMU WAKE , DEM AKAENDA KUOGA JAMAA AKACHUKUA SIMU YA MPENZI WAKE AKAANZA KUIPEKUA AKAFUMANIA MESEJI NA PICHA PICHA CHAFU DEMU ALIVOTOKA KUOGA AKAMUULIZA DEM AKAWA MKALI JAMAA KASEMA NAONDOKA NA SIMU KWA UCHUNGUZI ZAIDI DEEMU AKAPANICK AKAANZA KUMUITIA MWIZI JAMAA HAKUAMINI AKAPATA KIWEWE CHA GHAFLA PAMOJA NA KUMSIHI SANA DEM AACHE KUPIGA KELELE WAYAMALIZE DEMU ALIENDELEA KUPIGA KELELE MPKA RAIA WALIVYOJAA NA KUANZA KUMSHUSHIA KIPIGO .HUYO MAGGE NOW KAKIMBIA CHUONI POLISI WANAMSAKA KAMA KUNA MSAMARIA MWEMA ATAKAYEWEZA KUFANIKISHA KUMPATA ANAOMBWA AWASILIANE NA JESHI LA POLIS ILI AWEZE KUFIKISHWA KORTINI.
[HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR JUSTUS
atakamatwa tu...kama huyo kaka alikua mwizi kweli kwann ye akimbie??
Na hata wakija kusema hana hatia ajue tu maisha yake yote hiyo dhambi itamtesa hadi aingie kaburini mpumbavu asie na utu wala asiejua kutumia mdomo wake huyo!
Ndugu wahuyo kijana watafute haki ya ndugu yao!
 
Hapa Nilipo Tu Namalizia Kuandika DISSERTATION Yangu Ya M.A. Na Kama Mambo Yakienda Vizuri Kati Ya November Mwaka Huu au Mwakani 2017 Nitakuwa Nahitimu Baada Ya Hapo Miaka Mitano Ijayo Kama SITAKUFA Kwa UKIMWI au AJALI au ZIKA Nategemea Kama Si Kumaliza au Kuanza PhD Yangu. Utake Usitake Kuna UWEZEKANO Mkubwa Sana Mwaka 2035 UKANICHAGUA Kuwa Mbunge Wako au Rais Wako Wa Hii Nchi. Hakuna Nchi Nyepesi Kuupata Urais Kama Tanzania Hivyo Kupitia Chama Changu NITAKUTAWALENI Tu. Itunze Hii Post Yangu Na Mwaka 2035 YATATIMIA Haya. Na Cha Kufurahisha Zaidi Degree Yangu Nimeichukulia SAUT, Masters Yangu Naimalizia SAUT Lakini Hata PhD Yangu Nayo Nitaifanyia SAUT. Sijui Una Jingine Tena Labda? Nifah Hawa Watu Huwa Mnawatoa Wapi?
Labda urais wa Akudo impact.
 
Ukioa mwanafunzi wa chuo,umeoa kahaba,labda vyuo vya ughaibuni
Sawa mkuu na watoto wako wasifike chuo watakuwa makahaba. NB ukahaba ni hulka za mtu na tabia zake, bila kusahau ukahaba hafanyi na mbwa bali na binadamu aitwaye mwanaume.
 
Sawa mkuu na watoto wako wasifike chuo watakuwa makahaba. NB ukahaba ni hulka za mtu na tabia zake, bila kusahau ukahaba hafanyi na mbwa bali na binadamu aitwaye mwanaume.
uko sahihi lakini hukusoma vizuri,hata kama imekugusa au ni miongoni mwa waleeee,basi ujue wapo wachache ambao ni watoto wema na katika post yangu ya mwanzo nilisema hivyo!
Huenda ukawa ni miongoni mwa wale wema,ila nahisi uponmiongoni mwa "majority",mipaka nundu.
 
...kasichana kenyewe kanaonekana bado kadogo,no wonder kamefanya kalichofanya.!!
 
uko sahihi lakini hukusoma vizuri,hata kama imekugusa au ni miongoni mwa waleeee,basi ujue wapo wachache ambao ni watoto wema na katika post yangu ya mwanzo nilisema hivyo!
Huenda ukawa ni miongoni mwa wale wema,ila nahisi uponmiongoni mwa "majority",mipaka nundu.
Aisee nimeiona hii yenye kashfa nzitoo hadi nikawaza wanawake wote waliofika chuo ni Makahaba
 
Aisee nimeiona hii yenye kashfa nzitoo hadi nikawaza wanawake wote waliofika chuo ni Makahaba
kwanini usilione neno jingine,na je hujui kuwa kwenye night clubs nyingi ni wanafunzi wa vyuo ambao ndiyo hufanya upapa?,
Pia wewe ni msomi,kwanini huoni kuwa ishu siyonkufika chuo bali kuwepo chuo.
Zaidi ya hayo juu,ni kuwa mambo hayo hayakuwepo miaka kadha nyuma,ni sasa ambapo nyie mumetawaliwa na tamaa,muna misururu mirefu ya wapenzi mpaka munasababisha wengine kutolewa uhai kwa kujifanya hamuwajui,
Aibu kwenu
 
kuna mmoja mwanafunzi mmoja wa SAUT nilimpata club jana ,nikamrudisha chuoo baada ya kunywa bia zangu za kutosha leoo nina ahadi ya kumtoa tena out;ila kwa tikio hili roho imesita kidgoo siwezi kwenda tena chuoni kwakoo tutamalizana huku hukuu
...lione hili!...'shamba la wapi wewe??
 
Mfuate Ukamuulize Huko Mortuary! Bado Nasimamia UKWELI WA TAARIFA KUTOKA KWA AFISA HABARI WA SAUT KUWA ALIYEFARIKI NI MWIZI NA KWA TAARIFA ZA WATU WA KARIBU KAMA HUYO ALIYEKUPA UKWELI WAKE NI KWAMBA HUYO MAREHEMU ALIKUWA NI MWIZI NA ANAJULIKANA. Sasa AMEPUMZIKA PANAPOSTAHILI. Siwezi KUACHA KUMWAMINI AFISA HABARI WA SAUT MWENYE UKWELI WOTE HALAFU NIKAWAAMINI MAPOPOMA NA WAMBEA MLIOTUKUKA.
Bado unasimamia ukweli wa afisa habari
 
Jamaa hakuwa na hatia kauliwa tu..so sad aisee...hii kitu ya kujichukulia sheria mkononi itafutiwe ufumbuzi...na huyo alisoma saut kamaliza mwaka 2011

Kinachofanyika hapa ni kufanya utetezi kwa mwanafunzi
 
Roho ya mauti itamuandama sana huyo mwanamke, itakuwa kama donda ndugu.
 
Kiongozi, nimesema nimesikia kupitia Milard Ayo clouds fm, wala sikuwa shuhuda. Sina uhakika na hizo picha kwakuwa wote siwafahamu.
 
Back
Top Bottom