Bado Maswali Ni Mengi Mno Kuliko Majibu!! Hivi Hao Woote 3 (Kama Iko Hivyo) Walienda Kumfuata Huyo Msichana Kwa Lengo Moja La Kumuibia Hiyo Simu!!!!?? Na Je Walimfahamu Vp Kabla, Au Walienda Kwa Kubahatisha Tu!!! Ndio Maana Hilo Tukio Linahitaji Upelelezi Wa Kipolisi! Maana Kuna Dalili Za Kupindisha Ukweli, Wa Tukio Zima!! Na Hilo Linawezekana Kabisa, Kila Yanapotokea Mauaji Au Kifo, Watu Uwa Wanajaribu KUFICHA UKWELI Wa Matukio!! NADHANI Jeshi La Polisi Kwa Kushirikiana Na Uongozi Wa Chuo, Watawahoji Wale Wooote Waliokaribu Na Wanaoshukiwa, Mwisho Watatoa Majibu!! Kwani Wasichana Wana Mambo Mengi Mno!!