Mwanafunzi SAUT auawa kizembe


Mkuu GENTAMYCINE hapo kwenye blue hebu tupe ukweli ULIOTUKUKA, huyo binti hakumjua huyo mgeni(marehemu, RIP) au afisa habari kaongea uongo ULIOTUKUKA baada ya kupewa habari ZISIZOTUKUKA?
 
99% ya mapenzi ya vyuoni ni ya uwongo, usije jitia ujinga kwa kuweka mapenzi ya kweli kwa mwanachuo!! ni mapenzi ya temporary na ukijua hilo utapata shida. Bila shaka kifo cha huyu hakitatoka akilini kwa mwanamke maisha yake yote.
 
 
mie mwenyewe nilikuwa najua ni mwanafunzi aisee, na wengi tulikuwa tunafahamu hivyo kumbe jamaa magumashi! hata hivyo pale sauti huwa kunawanafunzi fake huwa wanalandalanda mitaa ya nyamalango ili wawanase kirahisi warembo wa kwenye masaloon, stationary na wananzengo.
 
kuna mmoja mwanafunzi mmoja wa SAUT nilimpata club jana ,nikamrudisha chuoo baada ya kunywa bia zangu za kutosha leoo nina ahadi ya kumtoa tena out;ila kwa tikio hili roho imesita kidgoo siwezi kwenda tena chuoni kwakoo tutamalizana huku hukuu
 
Ina huzunisha sana, poleni kwa wafiwa, mabinti jamani tamaa ni mbaya sana, siku hizi vyuoni kumekuwa na umalaya kuliko hata kwa ma baa maid? Kwa nini ukatili kama huu? Inasikitisha.
 
Mpaka nimeelewa kuwa mmeua kizembe tena kwa kukurupuka pengine hiyo picha sio ya binti muhusika ila nakubaliana na wengine kuwa huyo kijana kauawa kwa sababu ya mapenzi suala kwamba alishawahi kuiba laptop ni njia ya kutaka kujitoa kwenye kesi marehemu aonekane ni mwizi mzoefu, tatizo vijana mnasoma social ethics, critical thinking lakini hazisaidii akili zenu zinawaza kubet na ngono tu ndio maana mnafanya maamuzi ya kukurupuka kama hayo endeleeni kuteteana.
 
Uzushi ni upi mtu si ameuawa uongozi wa chuo unafanya hivyo kumtetea huyo mwanafunzi lakini hao walikuwa wapenzi na kuna picha wapo pamoja sasa hilo la uzushi sijui linatoka wapi?

Njia pekee ya kujua kama walikuwa wapenzi au la, ni kutolewa namaba za simu za binti na jina.Tuna check "call history" zao. Kama kulikuwa na mawasiliano kati yao,Binti atakuwa na kesi ya kujibu.
 
Hiki chuo kingeitwa Augustine tu hiyo saint ingetolewa, kuna vitu vya ajabu ajabu mno.
 
Sasa mkuu, certificate tu uliyosomea saut ndio inakupa mbwembwe hivi! Vipi kama ungechukua bachelor pale? Halafu unaonekana umemaliza miaka miwili au mitatu nyuma kutoka sasa.

Hapa Nilipo Tu Namalizia Kuandika DISSERTATION Yangu Ya M.A. Na Kama Mambo Yakienda Vizuri Kati Ya November Mwaka Huu au Mwakani 2017 Nitakuwa Nahitimu Baada Ya Hapo Miaka Mitano Ijayo Kama SITAKUFA Kwa UKIMWI au AJALI au ZIKA Nategemea Kama Si Kumaliza au Kuanza PhD Yangu. Utake Usitake Kuna UWEZEKANO Mkubwa Sana Mwaka 2035 UKANICHAGUA Kuwa Mbunge Wako au Rais Wako Wa Hii Nchi. Hakuna Nchi Nyepesi Kuupata Urais Kama Tanzania Hivyo Kupitia Chama Changu NITAKUTAWALENI Tu. Itunze Hii Post Yangu Na Mwaka 2035 YATATIMIA Haya. Na Cha Kufurahisha Zaidi Degree Yangu Nimeichukulia SAUT, Masters Yangu Naimalizia SAUT Lakini Hata PhD Yangu Nayo Nitaifanyia SAUT. Sijui Una Jingine Tena Labda? Nifah Hawa Watu Huwa Mnawatoa Wapi?
 
Huyo Afsa habari lazima afanye hivyo kumtetea huyo binti na hao wauawaji usitegemee aseme jamaa hakuwa mwizi kufanya hivyo maanake yule binti wale vijana waliohusika wakamatwe kwa kosa la mauaji.
 
SAUT ni chuo kinachoongoza kuwa na makahaba wengi wasichana wengi wanajiuza unakuta binti ana wanaume hata sita na bado usiku anaenda kutega mjini villa na kwingineko.
 
HUYO MAGGE NOW KAKIMBIA CHUONI POLISI WANAMSAKA KAMA KUNA MSAMARIA MWEMA ATAKAYEWEZA KUFANIKISHA KUMPATA ANAOMBWA AWASILIANE NA JESHI LA POLISI

Kumtafuta mtu kwa jina bila picha ni ngumu sana kumpata, ungeweka picha ingesaidia sana.
 
Mkuu GENTAMYCINE hapo kwenye blue hebu tupe ukweli ULIOTUKUKA, huyo binti hakumjua huyo mgeni(marehemu, RIP) au afisa habari kaongea uongo ULIOTUKUKA baada ya kupewa habari ZISIZOTUKUKA?

Ukisema AFISA HABARI WA SAUT Kaongea UWONGO Ni Sawa Na KUITUKANA TAALUMA Yangu Ya PRO au CORPORATE COMMUNICATION MANAGER Ambayo INAHESHIMIKA NA KUKUBALIKA KWA KIASI KIKUBWA MNO KOTE DUNIANI. Kabla Sijakujibu Maswali Yako Naomba Kwanza UTUOMBE RADHI WANA MAAFISA MAHUSIANO / HABARI WOTE KWA KUTUDHALILISHA KUWA SISI NI WAONGO Otherwise Nikirudi KIVINGINE Hutafurahia Mkuu.
 
SAUT ni chuo kinachoongoza kuwa na makahaba wengi wasichana wengi wanajiuza unakuta binti ana wanaume hata sita na bado usiku anaenda kutega mjini villa na kwingineko.

Hata Mtaa Unaoishi Familia Yenu Nayo Ndiyo Inasemekana Inaongoza Kwa Kutoa MABINTI MAKAHABA Kiasi Kwamba Hadi Mmetengwa Na Majirani.
 
sijui watu wanayachukuliaje mapenzi nowdays,simu ni kitu gani mpaka kikikusababishie kifo watu wanaonga magari na nyumba juu still wanadanganywa just leave that shit behind and walk away
Hakuchukua cm, kwa kuwa alitaka iwe yake au amnyang'anye huyo mwanamke, alimwambia anaenda kuzingunguza vizuri hizo msg. alikuwa na maana yake. Hata hao wanao honga magari unafikiri hawaumii wakisalitiwa? Mkuu usione vichaa wengi mjini, wengi wanateswa kwa usaliti na dhuluma.
 
SAUT ni chuo kinachoongoza kuwa na makahaba wengi wasichana wengi wanajiuza unakuta binti ana wanaume hata sita na bado usiku anaenda kutega mjini villa na kwingineko.

Hata Mtaa Unaoishi Familia Yenu Nayo Ndiyo Inasemekana Inaongoza Kwa Kutoa MABINTI MAKAHABA Kiasi Kwamba Hadi Mmetengwa Na Majirani.
 
Mkuu acha kutetea ujinga hakuna justification yoyote zaidi ya huyo jamaa kutaka kuchukua simu ambayo tayari sio yake maana alishaihonga anza kujipenda mwenyewe then tofautisha maisha na vitu kama simu au anything then mchukulie mpenzi kama kitu cha mpito huna hati miliki yake utagundua your life has more value than the rest mfano binafsi nakaribia 30 years sijaona kipya kwa mwanamke yoyote they are the same with different attitudes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…