Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Jamaa alikuwa ni mtu wa watu...aliandaa miss albinism alikuwa na mtaji flani katika bisiness zake...

Haiingii akilini kama angeiiba simu ya laki 2...maana cm ikishatumika huwa sio zaidi ya laki 2...na huwa anaandaa event za fashion modeling mbali mbali

Halafu leo eti kaiba cm..hii ni kupotesha maada na kumtetea huyo demu..haki itendeke kwa kesi hii na mtuhumiwa ahojiwe na majibu yapatikane
 
HII NI AJALI KAZINI. I HOPE BINTI HATACHUKULIWA HATUA YOYOTE YA KUUA KWA KUWA WALIOMUUA JAMAA NI WANANCHI WENYE HASIRA. POLENI SANA WAFIWA KWA KUMPOTEZA KIJANA WENU KIZEMBE HIVYO.
Binti hakuua bali alishiriki mauaji kwa kumwita mwizi!! Kifungo hakimwachi
 
View attachment 325869
jamaa kaenda kwa demu wake ambaye ni mwanachuo mwenzake kakuta sms sio kwenye simu ya demu then akamuambia demu anaondoka na simu demu kampigia
mwano wa mwizi jamaa kapigwa hadi kufa
SIMU YENYEWE NDO HIYO ALOSHIKA MKONONI AMA? NADHANI HILI NI FUNDISHO TOSHA KWA WAKWARE WENGINE WENYE TABIA KAMA ZAKE.
 
JAMAA KAFA KWA UZEMBE WAKE BINAFSI. MWANAMKE SIO MKEO (HATA KAMA) UTAKUWAJE NA WIVU NAYE WA KIJINGA KAMA HIVI?
 
Me huyo jamaa alieded simfahamu na wala sihitaji kumfahamu. but hicho kifo chake kimeniuma kinom noma yani... hilo limalaya lililosababisha ***** zake ningekuwa nalijua kudadadeki....!!!!! ninge...............
 
Ndugu zake mshikaji alieuawa mko wapi? amkeni msiwe mab.w.ege kihivo bhana!!!! ndugu kadedishwa na malaya then nyie mmebunda tuu km bumunda is not fair....!!!!
 
Huyu boya kafa kwa ujinga wake. Hivi hii dunia ya leo unamuekea wivu demu ambaye hata hujamuoa, tena mbaya zaidi alizan huyo demu atakua anatia peke ake.
 
Hiki kitabia kinakuwa kwa kasi kwa hivi vi binti vyetu. Nankumba na hii issue ya hivi ishawahi tokea pale MABIBO HOSTELI. Lakini kwa bahati nzuri jamaa wenzake walikuwa wanamfahamu. Yaani ni bora kama humpendi (hampendani) kila mtu ale time zake sio kusababishiana maumivu ya kizembe. HII NI KWA WADOGO ZANGU MNAO SOMA VYUONI " UKIONA KIBINTI KINAKUSUMBUA ACHANA NACHO PAMBANA NA SHULE" ukirudi kitaa wako wengi tu hawana watu wa kuwaoa. Kwanza ni wapenzi wachache hidumu ambao mahusiano yao ni toka chuo. Wengi wao huishi siku ya graduation na mmoja wao akipata kazi ya maana humsahau mwenzake na kumuona mzigo
 
Huyu boya kafa kwa ujinga wake. Hivi hii dunia ya leo unamuekea wivu demu ambaye hata hujamuoa, tena mbaya zaidi alizan huyo demu atakua anatia peke ake.
Mkuu kwa wengine kuona si kunaanza hivo.... aweza kuwa mmeisha kubaliana kuoana nami nadhani alichukua simu ili ajiridhishe.....
 
Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.

Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI, watu walikuja na kupiga bila kuuliza.

View attachment 325868
Huu Upuuzi kwa Mademu WA Saut Umezidi Sana sijui Njaa anga Mang'ana gha Ushamba Yan , afu Mafara unaendaje kuua Kijana Mwenzako Kwa Kusikia kaitwa mwizi Una uhakika Kweli ameiba ? Nguvu kazi ya Taifa na Kwa jamii Nzima imeniuma Sana kiukweli Nimekumbka na Matukio kadhaa yalowahi kutokea hapo ya aina hyo hyo basi Tu.
 
Nina hakika huna mpenzi siku ukipenda utarudi hapa kuomba msamaha
Kama hayo ndo mapenzi ya kuitiana wizi basi mm yamenishinda. By the way mapenzi ni two way traffic.. Kama ukiona mpaka umekuta message za utata kwenye simu ya mpenzi ako ujue hapo hupendwi, ni kuchapa lapa tu.. Alafu siku hz hakuna demu unayekula peke ako, ukitaka kula peke ako tafuta dildo ila kwa hawa mabint wa sasa hv sahau..
 
Sijazoea KUPARAMIWA Kama Ulivyozoea Wewe Hivyo Nakusihi Tu Endelea KUPARAMIWA Na Hiyo Miwa Ya Akina Mecky Mexime Na Zubery Katwila Ambayo Naamini Ina Sukari Tamu Na ILIYOTUKUKA.

Wewe GENTAMYCINE sijui unataka uprove nini katika hili jukwaa, sikuji hunijui ila unajishushia heshima kwa kiasi flani, uwezo unaotaka kuuaminisha umma wa jukwaa hili hauendani hata kudogo na "responce rate" yako, kiukweli sitaki kuamini kama kweli wewe ni mtu unayesomea masters degree kama ulivyojinadi huko mwanzo!

Umejawa na kiburi sana comrade, jaribu kufikilia once or twice before you start to punish your screen buttons for no good reason!

Matusi, majigambo na kujikweza sio tabia za kiugwana! Jaribu kuwa humble hata pale unapodeal na watu usio wajua kwani surely you will loose nothing but gain respect and love among your fellow earth dwellers.

Huu ni ushauri tu, ambao unaweza ukaujibu kwa matusi, kejeri au kashfa, ila hopefully utauzingatia hata katika extent ndogo tu, tafadhali, onyesha usomi wako katika kujenga hoja na si vioja!

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza!
 
Back
Top Bottom