Evaristo Mosses
Member
- Jan 12, 2016
- 19
- 0
Hakika damu haijapotea bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli.Yaani ni mbaya saana. Kama mzazi tumbo lote limekata . This is unacceptable na tulipinge kwa nguvu zote!
hata mm nashangaa ila mambo mengine ni kujitakia tuSasa wanafunzi wenzie waliompiga hawamfahamu?
Mkuu, masuala ya kisheria hayaamuliwi kienyeji kama unavyotaka wewe. Unadhani ni kwanini Zombe aliachiwa huru ijapokuwa yeye ndiye aliyewaamuru askari kuwaua wale wafanyabiashara? NI KWA SABABU ZOMBI HAKUSHIKA BUNDUKI KUWAUA WAFANYABIASHARA WALE. hivyo, ijapokuwa binti alipiga yowe ya "MWIZI" hakushika jiwe, fimbo, rungu wala kifaa chochote chenye ncha kali kumuua marehemu kama vile ambavyo zombe hakushika bunduki kuua. umeelewa?Ksuley post: 15440733 said:Alafu Eti Nawe Msomi!!!?? Tena Ukiwa Kijiweni Mbwembwe Kibao!! Ukijinasibu Ni Msomi Na Kuwakoga Masela Kwa "Kizungu "!! Kumbe Masela Tuna Uelewa Mzuri Tu Wa Masuala Mengi!! HIVI Kama Huyo Bint Asingepiga Mayowe Ya "Mwizi! Mwizi! Mwizi "Hao Wananchi Hiyo Hasira Yao Ingetoka Wapi Au Ingeanzaje!!?
Sasa ikijulikana kwamba huyo msichana anamfahamu huyo marehemu,kwamba alikuwa bf wake,ila wamehitilafiana na jamaa akachukua tu simu ili 'amkomoe' ndipo demu akapiga kelele za wizi....bado tu utakuwa na huo msimamo wako?! kwa kifupi scenario niliokupa inaleta manslaughter charge kwa huyo msichana.Mkuu, masuala ya kisheria hayaamuliwi kienyeji kama unavyotaka wewe. Unadhani ni kwanini Zombe aliachiwa huru ijapokuwa yeye ndiye aliyewaamuru askari kuwaua wale wafanyabiashara? NI KWA SABABU ZOMBI HAKUSHIKA BUNDUKI KUWAUA WAFANYABIASHARA WALE. hivyo, ijapokuwa binti alipiga yowe ya "MWIZI" hakushika jiwe, fimbo, rungu wala kifaa chochote chenye ncha kali kumuua marehemu kama vile ambavyo zombe hakushika bunduki kuua. umeelewa?
Mbona lulu anazidi kupeta tu!Roho ya mauti itamuandama sana huyo mwanamke, itakuwa kama donda ndugu.
basi sawa. rai nzuri!Whaaat!!!! Waht a commnet waht a comment?!?!?!?!? Yaani unamtetea huyo muuaji kwani bintint huyo ndio muuaji. Inajulikana kabisa ukisema mwizi Mitanzania inavyothanmini just simu vs Soul ya mtu unajua kabisa kinachotokea nashangaa sana hawa sijui Human right whatever badala kutetea watu wanaouwawa na hii mob justice wako tu kutete viti vya upendeleo sijui nini? Huyu Msichana ni muuaji na ashtakiwe kwa kuua. Mishcana huyu ni kataili sana sana! Hii iliwahi kuotkea UDSM- Kama humtaki mtu tena si umwambie tuuuu?1 Huyu kijana alienda chumba cha msichana akapotea ( huenda alikunywa pombe) wakashout mwizi kilichomsaidia ni Kuongea kwa kiingereza ( wkt huo ngeli ilikuw issue) so akajitetea na kumtaja gilrfriend ambaye hakuwa tayari hata kumtetea kuna wat sijui wana roho za namna gani?!?!?!? Na jamani Magufuli baba yetu hili ni jipu lingine! Na hhii ilianza kidogokidogo. ohh mwizi wa mifukoni sasa hivi ninyi manaofikiria mob-justice ni kwa wizi tu sasa hivi mesambaa mpaka ajali za barabarani and in most cases huwa ni za bahati mbaya. Tuache ushabiki tupambane na Mobu Justice kwani ni Injustice!!!!
mkuu, kesi za kuua haziamuliwi kirahisirahisi...mpaka kuwepo ushahidi usiotia shaka kwamba mhusika alihusika katika kuua kwa kupiga...sio kwa yowe wala kwa maneno. ndio maana hata zombe aliachiwa huru kwa kuwa hakushika bunduki kuwaua wale wafanyabiashara wa dar ijapokuwa AMRI ya kuua ilitoka kinywani mwake kama huyu binti ambavyo hakuhusika kumpiga jiwe, rungu au chochote marehemu. hii ndio maana ya KUUA kwa mujibu wa SHERIA. hata kama ukimtisha mtu mwenye shinikizo la damu akashtuka akafa, kisheria hujaua. niliwahi kushuhudia mtu amekufa baada ya kugongwa na gari kwenye ajali...daktari aliyehusika kufanya postmotem akatoa ushahidi kuwa marehemu amekufa kutokana mgando wa damu kwenye ubongo (SIO AJALI) ijapokuwa kuvuja kwa damu kulisababishwa na ajali. yule mtu aliyesababisha ajali aliachiwa huru. hivi ndivyo sheria zetu zilivyo...ukienda kichwa kichwa, inakula kwako hata kama umekosewa au kudhulumiwa uhai/mali.Mbona lulu anazidi kupeta tu!
NDIO. kama ni hukumu ya kuua basi WANANCHI WENYE HASIRA ndio watafungwa jela kwa sababu ya KUUA. demu ataachiwa huru. watu wasiojua sheria wanadhamu demu AMEUA kumbe si kweli KISHERIA.kosa la demu ni kumpigia jamaa kelele za wizi huku akijua kabisa kuwa jamaa sio mwizi
anapeta wapi? maruwe ruwe kila siku. damu ya mtu haiendi hivi hivi. huyo demu atajutia maisha yake yote. how do you dare to kill your inmate for dubious reasons. shit!Mbona lulu anazidi kupeta tu!
demu sura ngumu kama jangili
mkuu, binti hachukuliwi hatua yeyote kwa 7bu hajaua...walioua ni WANANCHI WENYE HASIRA KALI SANA.Yaani sijaona katili kama binti huyu achukuliwa hatua kali tena za kuua hata kama bila kukusudia!
NDIO. kama ni hukumu ya kuua basi WANANCHI WENYE HASIRA ndio watafungwa jela kwa sababu ya KUUA. demu ataachiwa huru. watu wasiojua sheria wanadhani demu AMEUA kumbe KISHERIA hajahusika hata chembe.
Kicheche utamjua tuJapokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu
Masikini weee huyo demu sjui kapata faida gani sasa