Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Inasikitisha sana.

---
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani.

Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi imeuona, uliosambaa mitandaoni ukionyesha majibizano kati ya mwanafunzi huyo akimlalamikia mkufunzi wake kuwa alimfelisha kwa makusudi.

Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 15, 2022 Dk Winnie Msangi kutoka hospitalini hapo amesema walimpokea mwanafunzi huyo jana akiwa kwenye hali mbaya.

Winnie amesema Ezekiel anaendelea na matibabu baada ya kupata majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake.

"Tulimpokea jana na kufanyiwa huduma ya kwanza kwa sababu alikuwa kwenye hali mbaya ya maumivu, mpaka sasa majeraha makubwa tuliyoyabaini ni kwenye uti wa mgongo lakini anaendelea ja matibabu zaidi," amesema Daktari huyo.

Alipoulizwa kuhusu tukio hilo Ofisa habari wa Chuo cha UDOM, Beatrice Mtenga amedai kuwa hana taarifa za tukio hilo na kuomba kupewa muda wa kulifuatilia.

Chanzo: Mwananchi
 
Habari kamili: Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Ezekiel Sostenes amejirusha kutoka ghorofani hadi chini na kujisababishia majeraha ya uti wa mgongo, kwa kile kinachodaiwa mkufunzi wake alimfelisha kwa makusudi.

Dodoma. Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani.

Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi imeuona, uliosambaa mitandaoni ukionyesha majibizano kati ya mwanafunzi huyo akimlalamikia mkufunzi wake kuwa alimfelisha kwa makusudi.

Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 15, 2022 Dk Winnie Msangi kutoka hospitalini hapo amesema walimpokea mwanafunzi huyo jana akiwa kwenye hali mbaya.
 
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani.

Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi imeuona, uliosambaa mitandaoni ukionyesha majibizano kati ya mwanafunzi huyo akimlalamikia mkufunzi wake kuwa alimfelisha kwa makusudi.

Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 15, 2022 Dk Winnie Msangi kutoka hospitalini hapo amesema walimpokea mwanafunzi huyo jana akiwa kwenye hali mbaya.

Winnie amesema Ezekiel anaendelea na matibabu baada ya kupata majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake.

"Tulimpokea jana na kufanyiwa huduma ya kwanza kwa sababu alikuwa kwenye hali mbaya ya maumivu, mpaka sasa majeraha makubwa tuliyoyabaini ni kwenye uti wa mgongo lakini anaendelea ja matibabu zaidi," amesema Daktari huyo.

Alipoulizwa kuhusu tukio hilo Ofisa habari wa Chuo cha UDOM, Beatrice Mtenga amedai kuwa hana taarifa za tukio hilo na kuomba kupewa muda wa kulifuatilia.

Source: Mwananchi
 
Kwanini asingeondoka na kichwa cha mkufunzi kama ana uhakika?analemaa yeye mtuhumiwa anaendelea kufelisha wengine,tuanze utamaduni wa kujitoa mhanga kwa faida ya wengi

Vinginevyo angesamehe na kuendelea na maisha tu
 
Huyu dogo angenitafuta nimpe kisa changu na sikujirusha wala. Japo nilijua na ilikuwa wazi kabisa mkufunzi alinifanyia ila nilijishusha na kwake yule mtu. Kisa aliniona live band na group mate wangu Irene.
 
Back
Top Bottom