Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kamanda alikuwa mtata alikikimbilia kifo kwa nyumaAlazwe pema peponi kamanda
Ni balaaa je tukipata ajira?Hapo hatuna Ajira ni boom tu' na tunakuwa walevi....
This is Africa ma men
R.I.P Champ
Mh sio kirahis lazma atasota kwa muda.Hakuna kesi hapo, marehemu alinifuata nikiwa naondoka kuepusha ugomvi akiwa na silaha ikabidi nijihami ili kujiokoa.
Kijana atasumbuliwa hapa hapa na pale lakini anatoboa kwenye hiyo kesi.
Ulevi sio kitu kizuri, madhara yake ni makubwa sana.
😀 😀 😀 😀Imagine mtu unakufa huku umelewa. Kuna watu wataipata kwa Mungu vilivyo
InasikitishaUsela mavi.
Msomi wa chuo kikuu you want to behave like thugs.
Stupid