cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kwanza mtu wa uhandisi, unapata wapi muda wa kuzurura ma bar na club, hata nje ya kipindi cha UE.Kilicho nishangaza ni kwamba wiki hii hapo must wameanza Ue. Inakuaje ijumaa baada ya kujiandaa na mitihani unnaenda pub? Mimi pia nimesoma must hapo kwa nature ya mitihani ya chuo hicho inaonekana hao vijana walikua wamejikatia tamaa.
Nimeshangaa haswaaa. Lol