Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

Self defense.... Apate lawyer mzuri
Kesi inaweza geuka man slaughter, maana hapo kuna sehemu kamanda anasema walipoamuliwa jamaa alitoka nje
Yule mwingine akamfata
Sema kesi ya mauji ni ya mauaji
Lazima akae sana ndani
Ndugu wahangaike sana kukupigania,

Ova
 
Upuz upuz ugeni wa mambo
Badala wa focus masomo wao
Kwenda hizo sehemu wanajiona wajanja wajuaji

Ova
Ni shida sana mkuu ,hawa fungulia mbwa ni majanga ,kuna jamaa mmoja alikuwa bright sana ,alisoma vipaji maalum advance akapiga div one point 4(ABA) akaenda chuo akawehuka na uhuru ,sasa hivi ni TEJA anapiga Debe makumbusho/mwenge.
 
Ni shida sana mkuu ,hawa fungulia mbwa ni majanga ,kuna jamaa mmoja alikuwa bright sana ,alisoma vipaji ..maalum advance akapiga div one point 4(ABA) akaenda chuo akawehuka na uhuru ,sasa hivi ni TEJA anapiga Debe makumbusho/mwenge.
Makundi tatizo

Ova
 
Hili tukio limenikumbusha mbali sana. ☹️

Anyway, namshukuru sana Mwenyezi Mungu aliweza kuniepusha na yule mbwa aliyetaka kuutoa uhai wangu miaka ile ya ujana, kwa sababu tu alishindwa kumchukua yule mtoto mzuri niliyekuwa nikimmiliki.
 
Kesi inaweza geuka man slaughter, maana hapo kuna sehemu kamanda anasema walipoamuliwa jamaa alitoka nje
Yule mwingine akamfata
Sema kesi ya mauji ni ya mauaji
Lazima akae sana ndani
Ndugu wahangaike sana kukupigania,

Ova
Apate mwanasheria mzuri, self defence kabisa hii
 
Back
Top Bottom