alikuacha kweliyani we bado unatetea wazee sio,,wanatunyanyasa sana ingawa mimi sijawahi,ila nilinusurika mwaka 2019 uko arusha nilienda field 🤣🤣apo nna miaka 19 tu afu libaba nadhan lilikua kwenye arobaini naa.....
WaitTime will tell 😂
Hayo mambo mkuu nadhani yanafanyika collage hizi ndogo ndgo amini..Hii nimeishuhudia mkuu, lecturer akishamuelewa student flani anaanza kumfuatilia kikawaida Ila akikataliwa ndio anaanza kutumia "ulekcha" wake kufanya hivyo. Na usichokitambua, kuna baadhi ya "lecturers" hiyo kwao ni part of fun na huwa wanahadithiana na kusaidiana.
Kuna chuo kimoja, kuna lecturer alikuwa ana tabia ya kutembea na wanafunzi group zima, yani kama kuna watoto wa kike wanaopenda kutembea pamoja, yeye atataka kuwapitia wote ili tu atimize fantasy zake
Nakuhakikishia, ikitengenezwa system ya kukamata lecturers, wengi watafukuzwa kazi
ni tabia mbaya tu mheshimiwaWazee hovyo sana..
Mi bado na deal na wazee.
Wazee hovyo kwanini wanawafanyia hivi...? Why
Babu shikamoo.Binafsi nimefanya kazi Serikalini hadi nilipostaafu Kwa lazima Mwaka 2005
Hakuna cha hisia hapo....hisia ni kwenu huko na mapenzi yenu ya kihindi. Huku ni tanua paja tuchomekeIla Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
Hiyo ni kwako wewe ila watu tumetofautiana, imagine kuna wapuuzi wanafanya hadi na maiti, wanyama n.k .Bora nmenunue ila kuliko nitumie unyonge wake na power niliyonayo kumgonga demu
😂 mjini mambo ni mengi.Hakuna cha hisia hapo....hisia ni kwenu huko na mapenzi yenu ya kihindi. Huku ni tanua paja tuchomeke
AwatajeRushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
Walikufanyaje mkuu, nawewe utazeeka ujue.Wazee watu hovyo sana huko maofisini na wengine tupo nao humu wanatetea tetea ujinga tu
Mijitu kama hii ni kupigwa pipe pmbv zao
Akiambiwa awataje atasema alikuwa anasema kwa niaba ya wenzie, akili zao wanazijua wenyewe.Awataje
Anae fanya na maiti, anae nunua na anae omba rushwa ya ngono wote kundi mojaHiyo ni kwako wewe ila watu tumetofautiana, imagine kuna wapuuzi wanafanya hadi na maiti, wanyama n.k .
Na moja ya ethics za kazi na ofisi nyingi ni usiri, hili nalo ni suala binafsi kudili nalo. Kwa binti mwenye akili anajua kipi sahihi afanye.Shida hii ipo toka Enzi za Ukoloni. Vitu kama hv zamani ilikua n siri sio kutangaza kwenye vyombo vya Habari. Yaan ukiombwa mzigo na Boss wko unakubal au kukataa kimya kimya.
Vijana,Wadada na Wamama wa siku hizi hawana kabisa SIRI. Kila kitu kwao n kuongelea tu kwa watu. Maadili ya kizaz hiki yameshuka sana.
Sijasoma college au institute, nimesoma university na nachokiongea sio hear say. Mimi nilikuwa karibu na huyo mtu hadi screenshots nilikuwa natumiwa.Hayo mambo mkuu nadhani yanafanyika collage hizi ndogo ndgo amini..
Maana kwa university mkuu uwezi kukuta lecture ana muda huo na mwanafunzi ni mara chache sana labda hao wenye hayo mambo ni hawa ma assistance na bado hawa huwa temporary tu..
Kwa miaka yangu yote niliyokaa chuo sijakutana na haya mambo au course yangu ilikua na pisi mbovu kiasi hiko
Unatishia? Endeleakifup vijana si wazee wote n wale wale,,
Mwaka 2020........au tuache tu
Kumradhii mkuu kumbe na wewe ni mfuga ndevu.😂 wafuga ndevu tumefikaje humu, kwanini wafuga ndevu.
Haipo, tatizo ni wanareport how? They need to protect anaye report maana watakuja after muhusikaKwani hiyo sheria haipo? Itakuwepo ila hawareport, kwanini hawareport hiyo ni ishu nyingine.
Naamini ipo sheria kwa sababu rushwa ya ngono haikubaliki kazini.
Kuna mahali ulizingua yeye akaamua kukuonesha kuwa anaeoa ni me.wala hujakosea 🤣🤣
sema mbwa ile🙌🏾🙌🏾,,ilifata process zote na barua ikaleta....... nyie nyieeee wanaume mtatuua sasa🤣🤣
Na hili ndio tatizo kubwa, mfano vyuoni walikuwa wanaenda kureport kwa dean of students, yeye anapeleka umbea wote kwa mhusika na hakuna hatua yeyote inayochukuliwa, baada ya hapo mwanafunzi anapata shida zaidi.Haipo, tatizo ni wanareport how? They need to protect anaye report maana watakuja after muhusika