Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Hii nimeishuhudia mkuu, lecturer akishamuelewa student flani anaanza kumfuatilia kikawaida Ila akikataliwa ndio anaanza kutumia "ulekcha" wake kufanya hivyo. Na usichokitambua, kuna baadhi ya "lecturers" hiyo kwao ni part of fun na huwa wanahadithiana na kusaidiana.
Kuna chuo kimoja, kuna lecturer alikuwa ana tabia ya kutembea na wanafunzi group zima, yani kama kuna watoto wa kike wanaopenda kutembea pamoja, yeye atataka kuwapitia wote ili tu atimize fantasy zake


Nakuhakikishia, ikitengenezwa system ya kukamata lecturers, wengi watafukuzwa kazi
Hayo mambo mkuu nadhani yanafanyika collage hizi ndogo ndgo amini..

Maana kwa university mkuu uwezi kukuta lecture ana muda huo na mwanafunzi ni mara chache sana labda hao wenye hayo mambo ni hawa ma assistance na bado hawa huwa temporary tu..


Kwa miaka yangu yote niliyokaa chuo sijakutana na haya mambo au course yangu ilikua na pisi mbovu kiasi hiko
 
Binafsi nimefanya kazi Serikalini hadi nilipostaafu Kwa lazima Mwaka 2005
Babu shikamoo.

Nadhani wameona busara za wazee.

Tangu utoke ofisini miaka hiyo wakizaliwa mabinti wanaosumbuliwa na hii changamoto kuna hili la wao kuombwa rushwa ya ngono. Ushauri wako n upi, nini kifanyike kukomesha au kupunguza hali hii?
 
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.

Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.


Awataje
 
Shida hii ipo toka Enzi za Ukoloni. Vitu kama hv zamani ilikua n siri sio kutangaza kwenye vyombo vya Habari. Yaan ukiombwa mzigo na Boss wko unakubal au kukataa kimya kimya.
Vijana,Wadada na Wamama wa siku hizi hawana kabisa SIRI. Kila kitu kwao n kuongelea tu kwa watu. Maadili ya kizaz hiki yameshuka sana.
Na moja ya ethics za kazi na ofisi nyingi ni usiri, hili nalo ni suala binafsi kudili nalo. Kwa binti mwenye akili anajua kipi sahihi afanye.
 
Hayo mambo mkuu nadhani yanafanyika collage hizi ndogo ndgo amini..

Maana kwa university mkuu uwezi kukuta lecture ana muda huo na mwanafunzi ni mara chache sana labda hao wenye hayo mambo ni hawa ma assistance na bado hawa huwa temporary tu..


Kwa miaka yangu yote niliyokaa chuo sijakutana na haya mambo au course yangu ilikua na pisi mbovu kiasi hiko
Sijasoma college au institute, nimesoma university na nachokiongea sio hear say. Mimi nilikuwa karibu na huyo mtu hadi screenshots nilikuwa natumiwa.

Usichokijua, students wengi hufanya hayo mambo kwa siri sana na huwa wanawahadithia watu wa karibu. Usishangae katika watu unaowajua washapitia hiyo shida Ila hawawezi kukusimulia kama huna haiba ya watu kukufungukia
 
Haipo, tatizo ni wanareport how? They need to protect anaye report maana watakuja after muhusika
Na hili ndio tatizo kubwa, mfano vyuoni walikuwa wanaenda kureport kwa dean of students, yeye anapeleka umbea wote kwa mhusika na hakuna hatua yeyote inayochukuliwa, baada ya hapo mwanafunzi anapata shida zaidi.
 
Back
Top Bottom