Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Tatizo ni shida mkuu na hali duni ya maisha ya walio wengi. Kila mtu anapambania apate kidogo cha kuyainua maisha yake. Binti anakubali kutoa rushwa ya ngono ili apate kazi itakayomuwezesha kuleta unafuu kwenye maisha yake bila kujali kuwa anakosea.

Huko kwa wenye mamlaka ya kusimamia na kufuatilia haya nao rushwa bado inatamalaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…