Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #321
Tag locationndo ulete nasubiri ivoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tag locationndo ulete nasubiri ivoo
Aende takukuruHuyu RC anajikanyagakanyaga kujibu swali la msingi ameulizwa "...inapotokea hivyo nikatoe taarifa wapi?"
Sasa hapo ndiyo unapotaka kukoleza moto kwenye hii Vita ya Vijana na Wazee 🤗😂 wakitoka hapo hiyo 120k anatafuta kijana anampa 20K anaongeza dakika pale mzee alipoishia.
Niggaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wtf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo ni shida mkuu na hali duni ya maisha ya walio wengi. Kila mtu anapambania apate kidogo cha kuyainua maisha yake. Binti anakubali kutoa rushwa ya ngono ili apate kazi itakayomuwezesha kuleta unafuu kwenye maisha yake bila kujali kuwa anakosea.Sana mkuu, hawa watu wanachukua advantage kwa wanaohitaji
Wako very low
Hatuna waandishi wa habari na hata tv ya Taifa sijui kazi yao huwa ni nini?
Wangekuwa BBC hawa jamaa ni balaa yaani zamani haya mambo yangeisha baada ya kuwaumbua hata Waziri wao hawajali
Nyie ndio mnafanya dogodogo watudharau na vichenchi vyetu 😂Sasa hapo ndiyo unapotaka kukoleza moto kwenye hii Vita ya Vijana na Wazee 🤗
Wazee waachwe wale pension yao na dogodogo 😜
😂Huyu binti hajui kuwa kutongozwa na kuliwa ni raha?Hebu makungwi mpeni darasa huyu mtoto.
Wazee hatuwezi kukaa bila dogodogo, si unajua miili yetu inahitaji Joto 😜Nyie ndio mnafanya dogodogo watudharau na vichenchi vyetu 😂
Hebu kuleni pension na wajukuu zenu.
WaaàaaaaaaaatNiggaaa
Joto si mfunge taa za WATS kubwa 😂Wazee hatuwezi kukaa bila dogodogo, si unajua miili yetu inahitaji Joto 😜
Naona unataka tukufe Wazee wenu sasa na mambo ya taa za WATS 🤗Joto si mfunge taa za WATS kubwa 😂
Ukifika pale,, turn left then right afu apo apoTag location
Eti pale, pale ndio wapi?Ukifika pale,, turn left then right afu apo apo
Au majiko ya mkaa yasikaukiwe na mkaa ndani 😂Naona unataka tukufe Wazee wenu sasa na mambo ya taa za WATS 🤗
ni pale pale jamaniEti pale, pale ndio wapi?
Tooooka, shindwa katika jina la Yesuni pale pale jamani
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂 uko seriousTooooka, shindwa katika jina la Yesu
Kiasi fulani sio sana.Hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂 uko serious
😂😂had unanikemea kwelKiasi fulani sio sana.