Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Sana mkuu, hawa watu wanachukua advantage kwa wanaohitaji
Wako very low
Hatuna waandishi wa habari na hata tv ya Taifa sijui kazi yao huwa ni nini?
Wangekuwa BBC hawa jamaa ni balaa yaani zamani haya mambo yangeisha baada ya kuwaumbua hata Waziri wao hawajali
Tatizo ni shida mkuu na hali duni ya maisha ya walio wengi. Kila mtu anapambania apate kidogo cha kuyainua maisha yake. Binti anakubali kutoa rushwa ya ngono ili apate kazi itakayomuwezesha kuleta unafuu kwenye maisha yake bila kujali kuwa anakosea.

Huko kwa wenye mamlaka ya kusimamia na kufuatilia haya nao rushwa bado inatamalaki.
 
Back
Top Bottom