Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Kwakweli hili jambo lipo sehemu nyingi sana na siyo zuri wala halipaswi kuendekezwa.

(nje ya mada)
For real huyo matron wa chuo amenikera sana kitendo alichofanya as if anamsujudia huyo jamaa sio kizuri, nidhamu ya namna hiyo sio nzuri na ndio inayoleteleza upungufu wa ufanisi makazini huko.
 
Shida ipo kwa wanaopaswa kulishughulikia hili lakini wanachukulia poa.
 
Naelewa mkuu
Najua wengine wametoka kwenye maisha ya chini na kuwaacha wazazi hawana kitu huku wadogo zake wana njaa
Ila huo sio ubinadamu wanaofanya watu.
Utakuta jitu lina watoto kama umri wa huyo lakini bila aibu anaomba
 
Pole sana watoto wetu , haya mambo si mazuri kabisa. Mtoto anayeoa mwanafunzi wa Field ajue mtoto kishachezea kichapo kwa sana sana.
 
Wababu wa vyuo hawasemwi, wa field ndio nogwa what a bias.. Njaa zitawatokea puani nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…