Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #341
Kukemea ni kawaida. Ukihtaji kukemewa na kivingine pia nitafanya hivyo.😂😂had unanikemea kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukemea ni kawaida. Ukihtaji kukemewa na kivingine pia nitafanya hivyo.😂😂had unanikemea kwel
Aliyekuzaa alitoa nini hadi akapata?Ona ulivyo na akili mbovu,wew ulitoa Nini mpaka ukapewa.
Kwakweli hili jambo lipo sehemu nyingi sana na siyo zuri wala halipaswi kuendekezwa.Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
Poteaaaaaaaaaa😫🖐🏾😌Kukemea ni kawaida. Ukihtaji kukemewa na kivingine pia nitafanya hivyo.
Sawa mkuuPoteaaaaaaaaaa😫🖐🏾😌
Shida ipo kwa wanaopaswa kulishughulikia hili lakini wanachukulia poa.Kwakweli hili jambo lipo sehemu nyingi sana na siyo zuri wala halipaswi kuendekezwa.
(nje ya mada)
For real huyo matron wa chuo amenikera sana kitendo alichofanya as if anamsujudia huyo jamaa sio kizuri, nidhamu ya namna hiyo sio nzuri na ndio inayoleteleza upungufu wa ufanisi makazini huko.
Naelewa mkuuTatizo ni shida mkuu na hali duni ya maisha ya walio wengi. Kila mtu anapambania apate kidogo cha kuyainua maisha yake. Binti anakubali kutoa rushwa ya ngono ili apate kazi itakayomuwezesha kuleta unafuu kwenye maisha yake bila kujali kuwa anakosea.
Huko kwa wenye mamlaka ya kusimamia na kufuatilia haya nao rushwa bado inatamalaki.
Kimeamka aisee,matibabu tafadhariAliyekuzaa alitoa nini hadi akapata?
RC anasema aende kwa MatronAende takukuru
😀Yeye mwenyewe ni mdau wa kupaki kwenye viunga vya vyuoni after work hours.
😀Wanaume kwa 99% huwa tunafanana tabia, hawa viongozi wetu huko makao makuu wanaowajua vizuri ni hao mabinti wa vyuo.
basi ngoja kwanzaSawa mkuu
Pole sana watoto wetu , haya mambo si mazuri kabisa. Mtoto anayeoa mwanafunzi wa Field ajue mtoto kishachezea kichapo kwa sana sana.Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
#milardayoupdates.
Hahaha...........najua lengo lako Wazee wote tukufe tu ili mjibebe Wajukuu zetu wote nyie 😜Au majiko ya mkaa yasikaukiwe na mkaa ndani 😂
Wababu wa vyuo hawasemwi, wa field ndio nogwa what a bias.. Njaa zitawatokea puani nonsense.Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
mh!mnatakwa ili mpate nini?
Exchange ya nini. Wao na kazi, sisi na nini?
pesaExchange ya nini. Wao na kazi, sisi na nini?
Wachuo wameshawazoea.Wababu wa vyuo hawasemwi, wa field ndio nogwa what a bias.. Njaa zitawatokea puani nonsense.
Imewahi kutokea?pesa