Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Dunia ya leo iliyojaa ustaarabu kuna sheria. Kama mtu amekosea basi hatua zichukuliwe kulingana na sheria. Zile enzi za mawe za kupigana kama wanyama hazina nafasi karne ya sasa.
 
Kuna sehemu za kupiga picha sio lazima upige popote kisa unasimu mpya.

Kawaida hiyo ndo shule kama alikua hajui.
 
Hamna shida wacha washtuke muda umekwisha wale 25% yao kitaa watajua kua serikali sio baba yao wala mama yao.....
 
Wabongo hatuelewi mpaka tupigwe kidogo, simuonei huruma huyo mwanafunzi, alafu hao wanaopiga hizo picha ndio wale wa "da mange hide my id"
Mkuu njo chukua buku tano la chai asubuhi maana umenena vyema
 
Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.

Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
ha ha ha; chadema hawajawahi kushika dola; waukizwe CCM wanavyotesa wapiga kura wao; maskini dada katoka Ngudu ndo mara ya kwanza kuingia DSM mwaka wa kwanza; sasa anapiga ka selfie awapelekee kwao awaonyeshe yupo dar tena karibu na nyumba ya Mkulu; maskini bila kujua kanyonyolewa nywele bila kiwembe.
 
Vijana mnaotoka mkoani muwe makini mnapokuja town kuna sehem haziruhusiwi kupiga picha
 
Mmh mi kuna siku nilikuwa naelekea pale Tanzania law reform sa ile naongea na simu si nikajichanganya nikajikuta naelekea mule getini kuingia ikulu...Yule askari alinifata kwa hasira sema niligundua kosa langu mapema nikamuomba msamaha ikawa pona yangu. Ila najiona nilivokuwa naelekea kupigwa mieleka ya John cena.
 
siku nyingine fasta waonyeshe kadi ya uanachama wa wanakuachia!! ile nyumba ni yenu .
 
Una ajenda yako ya kutaka kuaminisha nyumbu wenzio kuwa walinzi wa pale ni wanyarwanda!
 
Tangu lini mlinzi tena muafrika akatumia hata akili robo tu aliyopewa na Mungu?
Hakuna watu wapuuzi kama watu wanaoitwa walinzi wa maeneo nyeti, yaani watu weusi.
Ukiwaza ugumu uko wapi kumuonya tu kwa maneno? Halafu huu ukatili anauendekeza huyu Malaika.
 
Apo haparusiwi kupiga picha hata eneo la maji kuanzia soko la samaki na ukipita hakuna kusimama
Eneo lile limeongezewa ulinzi tofauti na tulivyozoea tatizo sisi wabongo wagumu kupokea na kuelewa vitu vipya
 
siku nyingine fasta waonyeshe kadi ya CCM wanakuachia!!
Hio akili unaitoa wapi na ile sura chachu imekutazama?? Na alinijia kashika sijui ndo bunduki ile. Eti unaniuliza, nilikuwa naongea na nani kwenye simu. Wana sura mbaya hao...likikukuta utakuja hadithia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…