Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.

Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Mwanad.png
Chanzo: ITV
 
Adhabu hii haiwezi tosha kuwa fundisho
 
Natamani kujua hii adhabu ya viboko vya mahakama hua inatolewaje especially kwa wafungwa, je n fimbo ya kawaida au iko special? Kuna maandalizi yoyote n.k?
Humu hapakosi wataalam wa haya mambo ya sheria wanipe muongozo nielewe
MAWEED msaada wako tafadhali kama hutojali
 
Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.

Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
LBGTQ imefika Rufiji. Hatari sana. Sijui tunakwepaje kama Taifa?
 
Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.

Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
Sijui lakini, naona adhabu haitoshi kabisa miaka 16 anajua fika alichofanya
 
Mpaka kufika 2030 nchi itajaa wngese,mapunga watu ni mwendo kubanduana
Maadili yashapotea sahv

Ova
Ni hatari sana aisee

Inanikumbusha kisa cha enzi za Ruthu cha kwenye Biblia, yaani jamaa hawataki kula Mbususu, ni mwendo wa kutembea barabara za vumbi tu hadi wakataka kupita na Malaika waliotumwa na Mungu kwenye lile eneo🙌

Kwa kweli tuzidishe maombi
 
Back
Top Bottom