ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
P didy mdogo huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli maisha ya Kisasa yanachangia sana mmomonyoko huu.Shida tunatoka SAA 12 tunarudi SAA 3 usiku watoto wanalelewa na dada wakazi plus English medium
🙏🙏🙏Amina
Kwahio jamaa atakuwa ana pelekea wenzake moto na kupewa adhabu ya fimbo mpka atakapo vuka 18yrs duhMtu yeyote aliye chini ya miaka 18 anahesabika kama mtoto na kesi zao zinaendeshwa kulingana na sheria ya mtoto namba 21 ya 2009. Kifungu 119 (1) kinaeleza kuwa mtoto hafungwi bali anapewa adhabu mbadala. Na hata adhabu ya viboko imefutwa kwa watoto. Kwa hiyo hapo hukumu ni kifungo cha nje kikiambatana na fidia. Kiukweli sheria ya mtoto inahitaji kufanyiwa mabadiliko. Angalau kuwe na kipengele cha adhabu ya kufungwa katika gereza la vijana.
Huyo dogo atakuwa kilaza sana darasani ndio maana analiwa takoMiaka 16 yuko form 3, then wa miaka 12 yuko la nne.
Huko mkoa wa kipolisi kutakua kuna shido!
Anyway, viboko 12 havitoshi!
Duuuuuuh mtihani, mtoto huyu kufikia hatua ya kufanya haya angekuwa wa mjini tungesema Smartphone huenda imechangia, lkn kwa kijiji nini chanzo?Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.
Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
Watu wanaona fahari kuwa single mom/fatherKwa kweli maisha ya Kisasa yanachangia sana mmomonyoko huu.
Maana muda mwingi Wazazi tukio busy na utafutaji.
Kingine hizi tabia za kulea mtoto peke yako i.e Single Father/Single Mother zinachangia sana pia
Ni kweli Mkuu, tunafanya kosa kubwa sana kwenye hiloWatu wanaona fahari kuwa single mom/father
Lakini miaka kadhaa mbele kuna shida yakimalezi itatokea, yaan mtoto anakuwa anamuona mama tuu,
Ni bora adhabu hiyo kuliko kuongea kikasiku," Miaka thelathini jela"Adhabu hii haiwezi tosha kuwa fundisho
Bora tu Dunia iishie hapa😂😂. Mbele naona Giza. Bora tu Yesu arudi kiishie hapaKwamba unataka sisi baada ya kufa kusiwepo watu wengine wa kuishi?
We msenge Pdiddy ni muislam?Si kwa ubaya, hivi "ulawiti unahusishwa na wenye majina haya ya nanii, mashariki ya Kati?
Kwanini wao tu?
Tuzidishe maombiBora tu Dunia iishie hapa😂😂. Mbele naona Giza. Bora tu Yesu arudi kiishie hapa
Hichi kizazi sioni Bora tuishie hapaTuzidishe maombi