Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.

Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
P. Didy wa badae.
 
Mitandao imechangia sana mmomonyoko wa maadili. Australia nafikiri wametunga sheria kuthibiti watoto wadogo kutumia simu mpaka umri flani.
 
Huyu jaji inabidi achunguzwe. Miaka 16 unampa kifungo cha miaka 30. Miwili anatumikia kwa jela ya watoto, 28 kwenye jela ya wakubwa kama issue ilikuwa umri wake.
30 ni wanapewa msamaha wa 1/3 yaan 30/3 anakaa miaka 10 anatoka kwa hio hapo ni 2034 atakua ametoka akiwa na miaka 26 labda akiuke taratibu za jela ndio miaka inaongezeka hio ni kwa mujibu wa Prisons Act (sheria za wafungwa)
 
Miaka kumi pia ni mingi ya kutosha kama kujifunza atakuwa kajifunza. Muhimu tuangalie mitandao, TV, radio watoto wanajifunza na kusikia nini huko.
 
Adhabu ndogo sana! Umlawiti mwanangu hio laki5 itatumika kufika Kigoma kukuroga uwe msenge wa Mombasa. Musa aliposema "jino kwa jino" nilimuelewa sana!
Wazazi jitahidini watoto wanaharibikiwa kwanzia humo humo sebuleni kwenu! Watoto mnawapa simu wanaingia tiktok wanachezea weeh mara instagram mara FB na huko skuizi ndio wamejaa watu wa hovyo na mambo ya hovyo ataacha kulawiti wenzie?
 
Huyu jaji inabidi achunguzwe. Miaka 16 unampa kifungo cha miaka 30. Miwili anatumikia kwa jela ya watoto, 28 kwenye jela ya wakubwa kama issue ilikuwa umri wake.
Hawa majajo wa siku hz ni kama askar tu ukiwa na hongobmfukon basi huna kesi

Miaka 16 sio mtt ni kijana hyo alistahil kwenda gerezan ili iwe fundisho kwa wengine

Sasa hapo anatoa adhabu nyepesi maana yake anahamasisha ubakaji uendelee
 
Muhimu sana tuangalie namna ya kudhibiti porno, video za ngono kwa watoto kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom