Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.

Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
Si kwa ubaya, hivi "ulawiti unahusishwa na wenye majina haya ya nanii, mashariki ya Kati?
Kwanini wao tu?
 
Natamani kujua hii adhabu ya viboko vya mahakama hua inatolewaje especially kwa wafungwa, je n fimbo ya kawaida au iko special? Kuna maandalizi yoyote n.k?
Humu hapakosi wataalam wa haya mambo ya sheria wanipe muongozo nielewe
MAWEED msaada wako tafadhali kama hutojali
Sio wataalamu wa Sheria tu ila wapo ambao hizo fimbo tushachapwa pia mkuu
 
Ifikie wakati hawa wanao wafanya wenzao nyuma au hawa mende adhabu yao iwe kifo cha hadharani .ili kuleta nidhamu kwa jamii kwa maana tukienda kuwasimanga hawa walioleft bado haitasaidia

Kifo ndio dawa ya mabaradhuli na mabasha
 
Mwambie mbunge wako apendekeze bunge libadili hiyo sheria, ila itakuwa unfair maana watu wa dini flani ndio watakuwa wanafungwa maisha.
 
Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.

Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzkumbe sasa ni fain na viboko 12 tu
Ile fain ya miaka 30 jela imefutwa
 
Back
Top Bottom