JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Adhabu hii haiwezi tosha kuwa fundishoHija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.
Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
LBGTQ imefika Rufiji. Hatari sana. Sijui tunakwepaje kama Taifa?Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.
Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
Nadhani wazazi/ walezi watawajibika kwa kumlea mtoto katika njia isiyofaaKwani mwathiriwa wa tukio ana hasira?
Hiyo laki tano mtuhumiwa atailipa baada ya kuhitimu UDSM na kuajiriwa tigo ama ajiajiri tigo pesa!
Hata Mimi imenishangaza sanaMiaka 16 yuko form 3, then wa miaka 12 yuko la nne.
Huko mkoa wa kipolisi kutakua kuna shido!
Anyway, viboko 12 havitoshi!
Kwa mtazamo wangu, huu si wakati wa kuleta/kuzaa watoto...Hali ya mmomonyoko wa maadili umekuwa Mkubwa sana kwenye jamii zetu
Wazazi tuzidishe maombi Kwa watoto wetu, bila kusahau kusimamia suala la malezi yao kiukamilifu
Mitoto mingine inawehukia mashuleni,kwa muktadha huo walimu pia waadhibiwe kwa kutowajibika ipaswavyo katika majukumu yao.Nadhani wazazi/ walezi watawajibika kwa kumlea mtoto katika njia isiyofaa
Kwamba unataka sisi baada ya kufa kusiwepo watu wengine wa kuishi?Kwa mtazamo wangu, huu si wakati wa kuleta/kuzaa watoto...
Mpaka kufika 2030 nchi itajaa wngese,mapunga watu ni mwendo kubanduanaHali ya mmomonyoko wa maadili umekuwa Mkubwa sana kwenye jamii zetu
Wazazi tuzidishe maombi Kwa watoto wetu, bila kusahau kusimamia suala la malezi yao kiukamilifu
Sijui lakini, naona adhabu haitoshi kabisa miaka 16 anajua fika alichofanyaHija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.
Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
Watatoka sayari ya mars mkuu,au wale watakaokosa makazi mbinguni baada ya ufufuo watarudishwa duniani kubalance ecolojia ya watu na makaziKwamba unataka sisi baada ya kufa kusiwepo watu wengine wa kuishi?
Ni hatari sana aiseeMpaka kufika 2030 nchi itajaa wngese,mapunga watu ni mwendo kubanduana
Maadili yashapotea sahv
Ova