Hii kitu haizingatii majina asili wala dini bro!Si kwa ubaya, hivi "ulawiti unahusishwa na wenye majina haya ya nanii, mashariki ya Kati?
Kwanini wao tu?
Tujitazame nyenendo zetu pia,kama dhambi kwetu kufanya ni suala la kawaida....basi wanetu maji yatafuata mkondo.Tumrudie BwanaHali ya mmomonyoko wa maadili imekuwa kubwa sana kwenye jamii zetu
Wazazi tuzidishe maombi Kwa watoto wetu, bila kusahau kusimamia suala la malezi yao kiukamilifu
Aaah,nyie si ndo mnataka mwalimu afanye kazi ya kufundisha mengine hayamuhusuMitoto mingine inawehukia mashuleni,kwa muktadha huo walimu pia waadhibiwe kwa kutowajibika ipaswavyo katika majukumu yao.
Asante kwa ufafanuzi, nilikuwa nimejipotosha, maana kuna watu wa hayo majina ya zile nchi zinazalisha mafuta kwa wingi.Hii kitu haizingatii majina asili wala dini bro!
Kuna baba hapo Mara akiitwa Nyantira sijui nani siukumbuki ubini wake lakini ni hawa hawa majina ya asili alimpasua speaker mwanae wa kiume wa kumzaa.
Na akimchapa tu mtoto , hana kazi.Aaah,nyie si ndo mnataka mwalimu afanye kazi ya kufundisha mengine hayamuhusu
Sheria haipaswi kumlinda mharifuKwa akili za kushikiwa na ccm wala huwezi kujuwa kwamba hao wote wawili wapo under age wanalindwa na sheria ya Juvenile.
Hujui lolote takataka ya Lumumba zaidi ya praise and worship Samia.
KabisaHali ya mmomonyoko wa maadili imekuwa kubwa sana kwenye jamii zetu
Wazazi tuzidishe maombi Kwa watoto wetu, bila kusahau kusimamia suala la malezi yao kiukamilifu
Vijana wetu wa kiume sijui tuwafiche wapi, Mungu awalinde tuKabisa
Ni kweliTujitazame nyenendo zetu pia,kama dhambi kwetu kufanya ni suala la kawaida....basi wanetu maji yatafuata mkondo.Tumrudie Bwana
Usijali Mkuu, hata hivyo nilijua tangu awali kwamba ni utaniMkuu nimejisemea mimi mwenyewe!
AminaNi kweli
Huenda matokeo ya dhambi za kizazi cha akina Ruthu enzi za Sodoma na Gomora ndiyo tunayaona sasa
Ngoja Wazee tuendelee kuliombea Taifa 🙏
Safi sana na aweke chini ya uangalizi wa dawati la jinsia akariporti huko hata miezi 3.Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.
Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Chanzo: ITV
Shida tunatoka SAA 12 tunarudi SAA 3 usiku watoto wanalelewa na dada wakazi plus English mediumHali ya mmomonyoko wa maadili imekuwa kubwa sana kwenye jamii zetu
Wazazi tuzidishe maombi Kwa watoto wetu, bila kusahau kusimamia suala la malezi yao kiukamilifu