Tukisema Tanzania hakuna luxury buses mtuelewe, hakuna luxury bus TanzaniaKatika operesheni hiyo, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Yusuph Kamotta, alifanikiwa kulisimamisha basi la kampuni ya Katarama Luxury lililokuwa limezidisha idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusafiri.
Kungekuwa na sheria kali huu ujinga usingekuwa ukijirudiarudia, tungeelekeza nguvu kwenye mambo mengine ya msingi badala ya nyimbo hizohizo miaka nenda rudiHatua hiyo inalenga kusisitiza umuhimu wa wamiliki wa mabasi, madereva na makondakta kuzingatia sheria za usafirishaji, ikiwemo kubeba idadi ya abiria inayoruhusiwa na kuhakikisha kila abiria anapata nafasi inayostahili
kwa usalama wake
Sana,110,000 atoe alafu akalishwe chini110,000 nchi ina mazuzu mengi sana.
Zipo sana.. BM ana bus nzuri.. Tilisho ana bus nzuri.. Ratco ana bus nzuriTukisema Tanzania hakuna luxury buses mtuelewe, hakuna luxury bus Tanzania
Hamna lolote kwanza hawajiamini kwanini ukubali kukalishwa chiniHao mazuzu ndiyo utegemee yalete mabadiliko zaidi hapo ni uchawa
Yaelekea kuna wengine walisimamisha mara kadhaa wakashindwaMkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Yusuph Kamotta, alifanikiwa kulisimamisha basi la kampuni ya Katarama Luxury lililokuwa limezidisha idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusafiri.
TEna 110000 bora nisipande hilo basi, ni uhuniUnalipa nauli full wanakuweka chini.
Abiria anaekubali kusimama nae ni tatizo.kuna Raqeeb
Wanasimamisha abiria usiku kama mmepanda hiace.
Wapare hao.. wa huko Same 😹Abiria anaekubali kusimama nae ni tatizo.
Cc Robert Heriel MtibeliWapare hao.. wa huko Same 😹
Yeah mkuu ndio nilichomaanisha... Upuuzi ni kila mahali, hapo akishapewa 5k na kondakta hakuna la maana wanazingatia.Uwa unasafiri na bus mara kwa mara?
Askari wengine si wanachunguliaga tu mlangoni?
Wengine wanaenda mbali zaidi wanadai ID kwa seat kadhaa
Kuclarify kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna shida yoyote ile. Ndio kilichotokea in this specific incidentNadhani mada ilitakiwa kuandikwa mtu akaa chini licha ya kulipia nauli kamili, kuandika n mwanachuo ni upuuzi usio na ulazima
Kwamba angekuwa n mfugaji, mada ingesema 'mfugaji amekaa chini licha ya kulipia nauli kamili?Kuclarify kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna shida yoyote ile. Ndio kilichotokea in this specific incident
Yeah ingekuwa hivyohivyoKwamba angekuwa n mfugaji, mada ingesema 'mfugaji amekaa chini licha ya kulipia nauli kamili?
Kulikuwa na umuhimu gani wa kumtambulisha kama mwanafunzi?Comment hii ya kishamba Sana, kisa msomi asile mihogo? Hujui kwao labda hakuna hata hicho kigodoro alichopewa kukalia.
Yeye alikuwa comfortable tuu sema Sheria ni msumeno.
Am I missing something. Kwani kuna shida gani? Nieleweshe kosa liko wapi nilipoandika kuwa ni mwanafunzi? Huenda kuna shida mnayoiona halafu mimi siioni & it's starting to get annoyingKulikuwa na umuhimu gani wa kumtambulisha kama mwanafunzi?
Sawa, ukisema hvy ndo ishu inaongezeka uzito au?Yeah ingekuwa hivyohivyo
Au kama mtoa mada akiamua kusema "Mtu" nayo ni sawa in any of the cases, hii ya mwanachuo au hiyo ya mfugaji
Kusema Mfugaji, Mwanafunzi au Mtu vyote ni sawa, as long as ndio kilichotokea
Sijaandika hivyo ili kuongeza uzito. Yani hayo mambo ya kuongeza uzito au kupunguza uzito ninayasikia kwakoSawa, ukisema hvy ndo ishu inaongezeka uzito au?