Isaya wa njombe
Senior Member
- Apr 2, 2023
- 191
- 385
amekwambia janaWe jonalist leo ndo tareh 26, rekebisha hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amekwambia janaWe jonalist leo ndo tareh 26, rekebisha hapo.
Au digrii ya maufundi kunako 6 x 6.Unaweza kuta anasomea digrii ya uiinga!

We jonalisti vipi asee.
Husemi mwanafunzi wa kike au kiume, tarehe umeigeuza pia
Waapi! Kwani hadi kufika chuo hajakua? Huo ni mwendelezo tu na akimaliza chuo kama atamudu, basi Atakuwa ni mbobezi.AKIKUA ATAACHA.
1.Viboko 12 vingemhusu kama ingekuwa ni kile Chuo pendwa cha Morogoro pale.Huyo atakuwa ni wa kiume shehe , wakike hawezi kutaka kujiua kwasababu ya mapenzi
Akitoka hosptali , achapwe na viboko 12 ..
Ila simlaumu wazee, mapenzi ya rikapumbavu ni mabaya sana, hasa utendwe au uachwe na mwanamke wako wa kwanza.
Pole yake ..

Etintaumia ila kujiua kisa mwanaume,,nehii🖐🏾
Unataka useme mapenzi matamu kuliko ugali?Huyo atakuwa ni wa kiume shehe , wakike hawezi kutaka kujiua kwasababu ya mapenzi
Akitoka hosptali , achapwe na viboko 12 ..
Ila simlaumu wazee, mapenzi ya rikapumbavu ni mabaya sana, hasa utendwe au uachwe na mwanamke wako wa kwanza.
Pole yake ..
Yeah! Lakini kwa uroho na ubinafsi wake yy anataka kukumbatia vyote ilhali hataviweza na hana uwezo huo. Stupid boy.angeacha kusoma akang'ang'ana na mapenzi.
Bado sina mtotoHahahaa> Aisee hapo utakuwa umechelewa tayari. Kama unaye kijana, basi Anza sasa kumfuatilia kwa karibu zaidi.
kumbe ni wa kiume?. Stupid boy.
Ulikuwa unajipigia tuu 😂Maisha ya chuo bwana.....
Nakumbuka kipindi nipo Univesite, nilikuwa naishi na mwanachuo yeye ana mume na Mimi Nina mke.... Tulipopanga wakawa wanajua sisi ni mume na mke....
Ningekua mwandishi mzuri ningeandika hiki kisa..
MUNGU anisamehe Kwa hari Ile
Mungu atakujalia.Bado sina mtoto
Brother acha tu .....Ulikuwa unajipigia tuu 😂
Ndiyo. Kwa mujibu wa comment # 23.kumbe ni wa kiume?
Enzi zetu tuliiita ni "Stabilizer".Afya ya Akili
Wanawake wengi waliopita vyuoni wana experience ya mahusiano ya ndoa kuliko wanaume ndiyo maana hata wakiolewa unakuta muda mchache sana ndoa zinaanza vurugu kwa sababu wanaendeleza walipoishia,hii inatokana na hulka ya kike kupenda sana kutunzwa so akitokea msela akamuahidi pakulala na kula kila siku a-sign uchi kwao fresh tu (in short mabinti wa chuo ni malaya wa bei rahisi)Maisha ya chuo bwana.....