Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

Ila mapenzi jamanii🙂🙂 au ndio kusema hakuwahi kukutana na mpenzi kama huyo😔
 
Watoto buana wa mwaka wa kwanza kina miaka hata 18 au 19 kinasumbuliwa na mapenzi
 
Wasomi wa Tanzania huwa siwaelewi bora amepona mungu amfanyie wepesi akili zitengamae
 
Hivi UDOM Kuna nini na masuala ya Mapenzi Kila siku? Mbona hatusikii haya mambo UDSM, SAUT na kwingineko?
UDSM mtu alie kisa mapenzi ana kichaa? Huo muda anautoa wapiii?
Maisha ya campus enyewe ni changamoto toshaaa!! Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom