Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Angekufa tu mwaka wake wa pili na wa tatu angeenda kumalizia huko alikoenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karekebisha baada ya kumsanua aliandika jana tarehe 26/04amekwambia jana
huyo Kijana ni Me au Ke..Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi.
Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya majengo ya chuo hicho (Block H, Collage of Education).
Taarifa za awali zimeeleza kuwa alipokorofishana na mpenzi wake litaka kujirusha kutoka Ghorofa ya Nne.
Inadaiwa amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa ajili ya matibabu baada ya kuonekana hayupo sawa.
Taarifa zaidi zitafuata.
MAELEZO YA UDOM
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa UDOM, Rose Mdami alipoulizwa amesema haya:
Taarifa za Tukio hilo ni za kweli, huyo kijana ameumia kiasi na amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa akipatiwa huduma, inadaiwa alifanya jaribio la kutaja kujiua na taarifa za awali zinaonesha kuwa chanzo ni masuala ya mapenzi.
Unajua huwa kuna changamoto ya tabia hasa kwa baadhi ya vijana hasa wa Mwaka wa Kwanza, lakini sisi kama Chuo tumeshirikisha mamlaka za kiutawala na kiusalama zinazohusika ili ziweze kufanya kazi yao.
Baada ya hapo kijana huyo akipata hali nzuri kiafya tutaingia kwenye masuala mengine yanayofuata ikiwemo ushauri wa Kisaikolojia.
Dah! Sasa hawa kutoka vyuo waende wapi au Itakuweaje? Wacha watu wajitumbukizemo tuu hakuna jinsi kila mtu na bahati yake.Wanawake wengi waliopita vyuoni wana experience ya mahusiano ya ndoa kuliko wanaume ndiyo maana hata wakiolewa unakuta muda mchache sana ndoa zinaanza vurugu kwa sababu wanaendeleza walipoishia,hii inatokana na hulka ya kike kupenda sana kutunzwa so akitokea msela akamuahidi pakulala na kula kila siku a-sign uchi kwao fresh tu (in short mabinti wa chuo ni malaya wa bei rahisi)
So kwa hiyo situation hapo juu hata wewe kama ulioa msomi nae sometimes alishafanya uliyoyafanya,ni ukweli mchungu lakini ni hali halisi na ndiyo maana huwa naiambia jamii ya vijana wanaokua kwamba kama kuoa bora kuoa STD 7 form four au hata six bora anajua kusahihisha homework za watoto mengine waachie dunia iamue lakini ujinga wa kuoa wasomi huko ni kujitengenezea rabsha ambazo zingeepukika.
Uzuri wa dunia inampa kila mmoja kile anachokitaka,hao wataangukia kwenye lile kundi linalosema haliwezi kuoa darasa la saba au mwanamke asiyefika chuo.Dah! Sasa hawa kutoka vyuo waende wapi au Itakuweaje? Wacha watu wajitumbukizemo tuu hakuna jinsi kila mtu na bahati yake.
Bwashe johnthebaptist vipi hizi lawama zimeelekezwa mahala sahihi?😅😅Hivo vitoto bana vya 2000s ni fakeni kabisa, kazi kuangalia series za Tyler Perry kuona mapenzi wanayajua
ila hizi lawama wapewe chadema
Yes, afya ya akili ya jamii, upeo mdogo wa kufuatilia kiini cha tatizo.Afya ya Akili
Mahondaw akitishia kukuacha Wala usi-attempt kujiua chifu.
Kwa hiyo tuseme ni ngoma droo au siyo?Uzuri wa dunia inampa kila mmoja kile anachokitaka,hao wataangukia kwenye lile kundi linalosema haliwezi kuoa darasa la saba au mwanamke asiyefika chuo.
Na mara nyingi huja kujuta baadae.
Kama vile huyu dogo ilivyotaka kumtokea au siyo.Nyege nyege nyege nyege ni janga la nne la taifa.
Ukiendekeza nyege lazima ufe mapema tena mdomo wazi.