Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

Mapenzi yaliponizingua chuo nilienda Moro town nikatafuta manzi piga usiku kucha nikarejea fresh kabisa anyway pole kwa boychild kapewa jeraha litakalomsumbua kwa mda mrefu
 
huyo Kijana ni Me au Ke..
Nakumbuka enzi izo za Chuo nina pisi Aru pale pale...Then Mpakani nina Pisi ya Tumaini alafu Magomeni nina Pisi ya IFM.
Vijana wa siku hizi bure kabisa.
 
Dah! Sasa hawa kutoka vyuo waende wapi au Itakuweaje? Wacha watu wajitumbukizemo tuu hakuna jinsi kila mtu na bahati yake.
 
Dah! Sasa hawa kutoka vyuo waende wapi au Itakuweaje? Wacha watu wajitumbukizemo tuu hakuna jinsi kila mtu na bahati yake.
Uzuri wa dunia inampa kila mmoja kile anachokitaka,hao wataangukia kwenye lile kundi linalosema haliwezi kuoa darasa la saba au mwanamke asiyefika chuo.

Na mara nyingi huja kujuta baadae.
 
Afya ya Akili
Yes, afya ya akili ya jamii, upeo mdogo wa kufuatilia kiini cha tatizo.

Wivu wa mapenzi maana yake nini, alipaswa kuacha uchoyo na ku share mapenzi na baraza la wanafunzi na walimu wa kitivo?

What if ni trauma za kabakwa? Za kulaghaiwa hela ? Kuombwa ngono na walimu ? Kuambukizwa li STD ? Kumfumania mwenzie ? Kubagazwa kwa maumbile ya ndani na nje ? What if ana kiungo kibovu?

Sio kosa lenu anyway, ni the press ndio inawaangusha. Mnajadili blindly, hamna taarifa, limwandishi moja half illiterate ndio linawafungulia mjadala na nyinyi mnatiririka mitusi ttttrrrrrrr dhidi ya suicidal teenage victim of trauma
 
Hivi UDOM Kuna nini na masuala ya Mapenzi Kila siku? Mbona hatusikii haya mambo UDSM, SAUT na kwingineko?
 
Uzuri wa dunia inampa kila mmoja kile anachokitaka,hao wataangukia kwenye lile kundi linalosema haliwezi kuoa darasa la saba au mwanamke asiyefika chuo.

Na mara nyingi huja kujuta baadae.
Kwa hiyo tuseme ni ngoma droo au siyo?
 
Huyu anaonekana ni kijana wa kiume, huyu ni hopeless kabisa hata kwenye ndoa atakuja kuteseka sana
 
Useless hujataja jina walajinsia unachamba umbea tu
 
Ngoja muje muambiwe jinsia ni ya kiume .....ndipo mkatapo blow

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…