Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

Ila mapenzi jamanii🙂🙂 au ndio kusema hakuwahi kukutana na mpenzi kama huyo😔
 
Mimi naomba apone ili aje kujutia maamzi yake ya kipumbavu✍️
 
Watoto buana wa mwaka wa kwanza kina miaka hata 18 au 19 kinasumbuliwa na mapenzi
 
Wasomi wa Tanzania huwa siwaelewi bora amepona mungu amfanyie wepesi akili zitengamae
 
huyo Kijana ni Me au Ke..
Nakumbuka enzi izo za Chuo nina pisi Aru pale pale...Then Mpakani nina Pisi ya Tumaini alafu Magomeni nina Pisi ya IFM.
Vijana wa siku hizi bure kabisa.
Uongoo mtupuu.
 
Hivi UDOM Kuna nini na masuala ya Mapenzi Kila siku? Mbona hatusikii haya mambo UDSM, SAUT na kwingineko?
UDSM mtu alie kisa mapenzi ana kichaa? Huo muda anautoa wapiii?
Maisha ya campus enyewe ni changamoto toshaaa!! Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…