Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

Watoto buana wa mwaka wa kwanza kina miaka hata 18 au 19 kinasumbuliwa na mapenzi
Yaan kisa kimejua utamu wa papuchi, eti kinataka kujiua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu wake wa kutoka form IV kabebwa na mabazazi dadeq..
 
Huyo atakuwa ni wa kiume shehe , wakike hawezi kutaka kujiua kwasababu ya mapenzi

Akitoka hosptali , achapwe na viboko 12 ..

Ila simlaumu wazee, mapenzi ya rikapumbavu ni mabaya sana, hasa utendwe au uachwe na mwanamke wako wa kwanza.

Pole yake ..
Ni kweli, block H wanakaa Me
 
MAPENZI YANA NGUVU SIO MCHEZO
 
Matatizo Ya Kushindwa Ku-Balance Masomo Na Mapenzi.

Hawa Ndio Hata Wakihutimu Ndio Yale Yale
 
Ni lini tutasikia wanafunzi wa vyuo vyetu mmebuni kitu cho chote? Kila siku mnabuni hasara mbalimbali latika jamii zenu.
Eti unajiua kwa ajili ya mapenzi....nonsense
 
Ndiyo maana MUM bakora zinatembea kama kawaida.
 
Kilakitu nasema hapa jukwaani "hawa vijana waliozaliwa miaka ya 90's na 2000's ni LAANA tupu"
Hapana unakosea siyo laana, kama ndo hivyo wanao pia laana. Jambo la msingi hapi ni tabia binafsi na kukosekana kwa hofu ya mungu kuhusu laana hata zamani mlikua mnajiua na nyie mlilaaniwa
 
Hapana unakosea siyo laana, kama ndo hivyo wanao pia laana. Jambo la msingi hapi ni tabia binafsi na kukosekana kwa hofu ya mungu kuhusu laana hata zamani mlikua mnajiua na nyie mlilaaniwa
Vijana wa CHADEMA wapumbavu sana,huyo ni mfuasi wa Boniyai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…