T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Jana nimemtoa Farida hostel saa mbili usiku akanikatalia kwenda mbali. Nikamuuliza kwani huniamini siku zote hizi tunafahamiana, akaniuliza uko tuendako (ambapo hajawahi fika) ikitokea watu wanataka kumbaka nitaweza kuwazuia?
Nikamsikiliza, kwanza ningetumia gharama nyingi pia tungepoteza muda zaidi. Tulikaa karibu tukapata dinner tukadanganyana sana mpaka saa tano nikamrudisha kisha nikaenda ghetto.
Nikamsikiliza, kwanza ningetumia gharama nyingi pia tungepoteza muda zaidi. Tulikaa karibu tukapata dinner tukadanganyana sana mpaka saa tano nikamrudisha kisha nikaenda ghetto.