Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
Serikali ipi
Serikali hi hi ya awamu ya Magu
Bushmamy , unazani Kuna kukosa haki kwa hapa kwetu Tz
Nini Sasa maana yakuwa MTz
Kwa haki hakuna dhidi ya raia wake
Tunahitaji majibu juu ya mwili wa felister kilicho mkuta kabla ya umauti ,
Kuna pakuanzi kuchunguza ,
Kuna Kila uwezekano wa wahusika kukamatwa,
Vyombo vya dola kunyamaza itakuwa ni unafiki dhidi usalama wa raia , kwani ni jukumu lao kulinda raia na Mali zake
TISS iko wapi kwani
uwepo wa vyombo kipelelezi si ni kuhakikisha usalama dhidi ya raia wake .
Labda tu waamue kunyamaza
Kama hii kesi ingekuwa ni kujua chanzo Cha kisima
Basi ni kutafuta kujua ilipo chemchem tu.
R.I.P FEL P
My C*