TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

Raha ya kudanga ujue kukwepa vitu vyenye ncha kali

Bujibuji,
Sio Kila sehemu uweke mzaa mzee.
Hii sio taarifa za Simba na yanga
Ni tukio la huzuni na lakikatili
Bila kujali wala kuhusika yapasa kupinga ukatili.
Huyu mwanafunzi ni ndugu yangu ,anitwa felister daudi anzameni.
Amesoma shule ya msingi Ngaramtoni,
Sekondari kamaliza Osiligi iliyopo karibu na Mount meru University ,

Alikuwa anaendelea na masomo
So kusema mambo ya kudanga
Ni kitu haviendani kabisa mkuu
Tuache sheria ifanye yake

Mazishi yake yatafanyika mkoani Arusha ,Wilaya Adc kijiji donyosambu.siku ya Alhamisi.

Upumzike Kwa Amani .
Mpendwa wetu .
Felister D Anzamen
Daima mbele sisi nyuma
M.P.A
 
Tunaishi kwenye jamii ambayo ukizaa mtoto wa kike badala ya kuwa na furaha kwamba Mungu amekupa malaika unaanza kuwa na hofu,wasiwasi na kukosa amani.Hii siyo sawa!
Na ukisoma heading za pisi kali na za kula tunda kimasihara,na una watoto wakike nguvu zinaisha kabisa.Hivi vitoto vya kike hatar Sana
 
Zipo Mkuu tena kitambo sana!! Wewe si unaona ma RPC wakikamata "VYUMA" wanavaa gloves wakizishika kuwaonyesha wanahabari.
Mbele huko wazee wa kazi wakiweza kunasa tu fingerprints basi upelelezi unakuwa umefanikiwa karibu 80%, kifuatacho ni kutafuta close match kwenye database...

Basi nadhani kwa bongo ni hadi wawatie nguvuni watu kadhaa then ndio waanze kulinganisha 'manually'
 
Bujibuji,
Sio Kila sehemu uweke mzaa mzee.
Hii sio taarifa za Simba na yanga
Ni tukio la huzuni na lakikatili
Bila kujali wala kuhusika yapasa kupinga ukatili.
Huyu mwanafunzi ni ndugu yangu ,anitwa felister daudi anzameni.
Amesoma shule ya msingi Ngaramtoni,
Sekondari kamaliza Osiligi iliyopo karibu na Mount meru University ,

Alikuwa anaendelea na masomo
So kusema mambo ya kudanga
Ni kitu haviendani kabisa mkuu
Tuache sheria ifanye yake

Mazishi yake yatafanyika mkoani Arusha ,Wilaya Adc kijiji donyosambu.siku ya Alhamisi.

Upumzike Kwa Amani .
Mpendwa wetu .
Felister D Anzamen
Daima mbele sisi nyuma
M.P.A
Naomba picha yake mkuu tunahitaji kuomboleza pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so sad,but i feel kuna killer on the loose, police wachunguze matukio kama hayo sehemu hio,lol....hii ya kumbaka,na kumchoma kisu kwenye titi la kushoto ni kama clue, kama akipatikana mwili mwingine nao umekua attacked kwenye titi la kushoto just know there is serial killer hilo eneo................mimi i can predict the killer will strike again, 😳😳😳😳, violence aliyofanyiwa sidhani kama ni ya one time off,i guess wanafunzi wa hicho kijiji ni potential targets,so waambieni wasitoke kwenda kutembea wenyewe...my guess..
 
Bujibuji,
Sio Kila sehemu uweke mzaa mzee.
Hii sio taarifa za Simba na yanga
Ni tukio la huzuni na lakikatili
Bila kujali wala kuhusika yapasa kupinga ukatili.
Huyu mwanafunzi ni ndugu yangu ,anitwa felister daudi anzameni.
Amesoma shule ya msingi Ngaramtoni,
Sekondari kamaliza Osiligi iliyopo karibu na Mount meru University ,

Alikuwa anaendelea na masomo
So kusema mambo ya kudanga
Ni kitu haviendani kabisa mkuu
Tuache sheria ifanye yake

Mazishi yake yatafanyika mkoani Arusha ,Wilaya Adc kijiji donyosambu.siku ya Alhamisi.

Upumzike Kwa Amani .
Mpendwa wetu .
Felister D Anzamen
Daima mbele sisi nyuma
M.P.A
Nimekupata mkuu
 
Iko mambo ya ndani...mbona kuna nchi zingine ili uende lazima wjue kama una criminal record
Na wanakuambia ukafanye hapo mambo ya ndani majibu yako positive na negative mzee baba !

Ova
Kwa kweli nilikuwa sijui kama tunayo...

Sasa kwa nini tunashindwa kuwa na database, kwamba kila raia prints zake ziwe kwenye kumbukumbu...

Hii misala midogo midogo ya watu kuibiwa vitu kama TV, gari kupigwa mswaki n.k ingekuwa inatatuliwa kwa haraka
 
Zipo Mkuu tena kitambo sana!! Wewe si unaona ma RPC wakikamata "VYUMA" wanavaa gloves wakizishika kuwaonyesha wanahabari.

Kwa swala la ,alama za muuaji nazani itawezekana kung'amua vizuri wahusika wa mauaji .
Ndo maana wameruhusu azikwe kesho, sabab upande wa kuchunguza mwili umekamilika ,

Ni sheria Sasa inatakiwa tuipe nafasi ipambanue mambo kwa kina

R.I.P my sister Fel P
 
Back
Top Bottom