Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Ni hatari.Mmmh ila madale kuna matukio[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari.Mmmh ila madale kuna matukio[emoji848][emoji848]
Bongo kuna forensic science ya finger prints?Nitashangaa kama Polisi wasipowakamata hao wauaji,yaani hadi wamebaka lazima kuna finger print za kutosha kwenye mwili wa marehemu.
Poleni ndugu,jamaa na marafiki.
Kuna sista mmoja mwanajeshi nae walimpiga hivyohivyo, kaamka saa kumi IST ipo kuamka asubuhi kaenda kuoga kajipodoa kala gwanda ile atoke nje kweupe, mbona alirukwa wazimu, akaanza kusema "ilikuwa hapahapa jamani×11"
Duuu,Acha tuu.. Gari imeibiwa usiku Mwenyewe anasema ameamka saa 9 kuchungulia dirishani ipo.. Ile analala tena kuamka asubuhi saa 1 akadhani anaota..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mjeda alipigwa gongolambotoEbwanaeeh mnanitisha mjue[emoji848][emoji848]
Maeneo gani hayo
Thubutu! Picha liliisha mzeeAlikuja ipata au?? Malizia bas story
Madale,goba si watu ndy wanahamiaMmmh ila madale kuna matukio[emoji848][emoji848]
Mmh hii balaaHuyu mjeda alipigwa gongolamboto
Sasa na mimi si nitaibiwa humo humoAnza kulala kwenye ka mkebe kako mkuu
Hapana, ukistuka tu wanatoka mbioSasa na mimi si nitaibiwa humo humo
Ipo mzee sema mpaka waamue hapo familia labda wao wakomae sanaBongo kuna forensic science ya finger prints?
Mtungo ni nini best...daah,aisee inauma kweli
Nakumbuka kuna sku moja mida ya nne ucku nilienda pata supu chapati maeneo x karibia na chuo Y...nilivyofka eneo la huduma kuna binti alikaa jirani yangu,alikuwa anaropokaropoka maneno kwa harakaharaka nkajua kibati kimecheza kichwani Ila baadae nkajagundua ni pombe ndo ilikuwa inaamfanya vile.
Sasa asubuhi natoka tu ATM nakutana na yule bint akitoa maelezo kwa afande wa lindo pale ATM...
Bint yule alikuwa ameshikilia mkononi blouse yake kuukuu nyeupe iliyolowa damu akiwa anatetemeka uku anatokwa na machozi...aisee niliumia kweli.
So pombe si nzuri kwakweli hasa kwa wanawake...kuna wajuba wakimuona bint anazubaazubaa tu kalewa pombe wanapita nae tena kwa mtungo...
Shida polisi wetu sio wa hivo Yan hawapo kikazi bali wapo kwa ajili ya maagizo kutoka upande flani wa chama flani basi,Nitashangaa kama Polisi wasipowakamata hao wauaji,yaani hadi wamebaka lazima kuna finger print za kutosha kwenye mwili wa marehemu.
Poleni ndugu,jamaa na marafiki.