Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Btw the legs mbona ni jambo la Karne na karne na litaendelea kuwepo. Mauaji yanasababishwa na nini?"Between legs" ni tatizo ariif!
Waandishi wetu hao, ukanjanja mtupu!Hizi aya Mbona hazieleweki?
Anyway, R.I.P Mdada..
For sureKwa nnavoona Mimi ni ugomvi na ni wa mapenzi.hicho alivhofanyiwa ni kisasi
Labda alikua na mwanaume kisha akambwaga akaenda kwa mwingine,sasa inategemea yule wa mwanzo aliachana nae vipi na ni MTU wa aina gani..sasa ni kama alikua anamuwinda amkomeshe akamkodishia gang wambake kisha wamfanye hivi. Ama anatembea na mume wa mtu so siku hiyo mwenye Mali kakodi watu.
-mtu mwenye akili za kawaida hawezi kufanya hayo mauaji mwenyewe labda awe mgonjwa wa akili. Pia upigwe mtama na kundi la vibaka wakubake wakishamaliza haja zao we umezimia wanakimbia. wakuchome mwilini kuhakikisha umekufa kwa lipi?
Haya mauaji ya kukodishwa vikundi katili kwa mission moja tu kuua.hawezi Fanya mtu personally. Hata binti mmoja wa arusha makumira Ilikua hivohivo akaokotwa kwenye shamba la mpunga.
Je peux voir que tu es très actif iciToo sad
Unaweza kuta unajilaumu Sana kwanini moyo ulisita kutoka lakini ukajilazimisha kea kuwasikiliza wenzio . Very sad na itawasumbua Sana wenzie hata Kama hawakuhusika.Wanafunzi someni ndo kilichowapeleka huko vyuoni na starehe mtazikuta kuweni wavumilivu. By the way uchunguzi uanzie kwa waliotoka nae ili waseme waliachana nae vipi au na wa mwisho kumchukua. Ina lillahi wa ina ilayhi rajiuna.
Daah hapo ndipo huwa namkubali mbwa aisee, nina mbwa wangu 4, kuna mmoja anapanda juu ya fensi anatulia tulii, sasa jichanganye usogelee geti... Au kama nimepitiwa na usingizi mzito halafu mtu asogelee ukuta au geti yaani watakavyobweka lazima utaamka. Wanabweka huku wanakuja dirishani na kubwekea hapo...Acha tuu.. Gari imeibiwa usiku Mwenyewe anasema ameamka saa 9 kuchungulia dirishani ipo.. Ile analala tena kuamka asubuhi saa 1 akadhani anaota..
Sent using Jamii Forums mobile app
Shabikia tu kama vile ni jambo la kushabikia!umekula vya watu , papuchi hutaki kutoa
...Nami nimepashangaa halo. Ameokotwa korongoni akiwa uchi!RPC anataka kumuuzia mtu kesi hapo. Eti "tunashilkilia simu za marehemu ili tumkamate aliyewasiliana naye kwa mara ya mwisho" So sad.
Intelejensia ya Tanzania ni kama ramli za waganga wa kienyeji. Full kubahatisha!
Ndio wale wale kina ndali....Havyalimana huyu si Mtanzania ni Mrundi au ndo watu wa kitengo
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kagame lugha gani izo[emoji16]Je peux voir que tu es très actif ici
Mmmh hiyo ni mitaa gani?[emoji848]Ndiyo ina fance..