TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

kama umeamua kuwa mdangaji ni heri uwe muwazi.

sio unajificha kwenye kichaka cha mapenzi.

rip to little soul.
 
RPC anataka kumuuzia mtu kesi hapo. Eti "tunashilkilia simu za marehemu ili tumkamate aliyewasiliana naye kwa mara ya mwisho" So sad.

Intelejensia ya Tanzania ni kama ramli za waganga wa kienyeji. Full kubahatisha!
 
Duh! aisee nimepita eneo fulani huku Goba usiku wa leo mida ya saa nane nikiwa kwa miguu...nimekuta gari Premio nyeupe imechomekwa vichakani kama inataka kuelekea mabondeni huko...nilienda kuchungulia kama kuna mtu yamemsibu nikaikuta tupu na wala haijaharika..nahisi imefanya tukio nikirudi mtaani ntaulizia kilichojiri.

Tuweni makini hizi sikukuu...RIP
Una roho ngumu sana
 
Kitu nilichojifunza wanawake wengi wanachukulia poa sana hisia za watu bila kutambua ukomo wa uvumilivu unatofautiana baina ya mtu na mtu,pia kuna binadamu wengine ni wanyama sana.

Wanawake wengi wanapoumizwa hisia zao hukimbilia kwa waganga,kwa wanaume vitu ni tofauti.
Ila ndo mpaka uue?[emoji848][emoji15]

Kazingua achana nae, dunia tamu hii
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Halafu haya Mambo bhana.. Huyo Rafiki yangu mwenyewe kabla hajaibiwa gari aliota ndoto ya namna hiyo zaidi ya mara tatu.. Na mara zote alikuwa ananiambia..
Mmmh kumbe ndoto za ukweli eeh


Mazingira anayokaa yakoje?
 
Mmmh kumbe ndoto za ukweli eeh


Mazingira anayokaa yakoje?
Alikuwa anapaki kwake. Miaka yote gari analaza nyumbani. Na kuna geti.

Ila wezi wa magari ni proffesional sana aisee.. anakwambia akusikia geti likifunguliwa wala hakusikia mngurumo wa gari.
 
Back
Top Bottom