TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

Serikali ipi

Serikali hi hi ya awamu ya Magu

Bushmamy , unazani Kuna kukosa haki kwa hapa kwetu Tz
Nini Sasa maana yakuwa MTz
Kwa haki hakuna dhidi ya raia wake
Tunahitaji majibu juu ya mwili wa felister kilicho mkuta kabla ya umauti ,
Kuna pakuanzi kuchunguza ,
Kuna Kila uwezekano wa wahusika kukamatwa,
Vyombo vya dola kunyamaza itakuwa ni unafiki dhidi usalama wa raia , kwani ni jukumu lao kulinda raia na Mali zake

TISS iko wapi kwani
uwepo wa vyombo kipelelezi si ni kuhakikisha usalama dhidi ya raia wake .
Labda tu waamue kunyamaza

Kama hii kesi ingekuwa ni kujua chanzo Cha kisima
Basi ni kutafuta kujua ilipo chemchem tu.

R.I.P FEL P
My C*
 
Marehemu(R.I.P) alikua anaimba(msanii)?...
 
WATU WALIOFANYA TUKIO KAMA HILI HAWAFAI HATA KUKAA JELA HAWA INAFAA KUWACHINJA HADHARANI
 
Bujibuji,
Sio Kila sehemu uweke mzaa mzee.
Hii sio taarifa za Simba na yanga
Ni tukio la huzuni na lakikatili
Bila kujali wala kuhusika yapasa kupinga ukatili.
Huyu mwanafunzi ni ndugu yangu ,anitwa felister daudi anzameni.
Amesoma shule ya msingi Ngaramtoni,
Sekondari kamaliza Osiligi iliyopo karibu na Mount meru University ,

Alikuwa anaendelea na masomo
So kusema mambo ya kudanga
Ni kitu haviendani kabisa mkuu
Tuache sheria ifanye yake

Mazishi yake yatafanyika mkoani Arusha ,Wilaya Adc kijiji donyosambu.siku ya Alhamisi.

Upumzike Kwa Amani .
Mpendwa wetu .
Felister D Anzamen
Daima mbele sisi nyuma
M.P.A
Nimewaeleza hapo juu kabisa hawa ni vijana wenye tabia ya kubaka simply kubaka no other reason akishabaka anapata hofu anaua . Tabia ya kubaka IPO sana kaskazini Knjaro Arusha toka miaka ya 80 nikiwa mdogo mpaka wabibi walibakwa na kuuawa.

Jana nimeona Arumeru wamama wamebakwa na kuuawa katk eneo Fulani . hakuna sababu ni kubaka tu.

Ngono si kitu rahisi sana kaskazini kama kusin na mashariki . Vijana wakitaka ngono na bangi zao wanabaka
 
Picha ya marehemu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20210104-093256.png
 
Back
Top Bottom