TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

Serikali ipi

Serikali hi hi ya awamu ya Magu

Bushmamy , unazani Kuna kukosa haki kwa hapa kwetu Tz
Nini Sasa maana yakuwa MTz
Kwa haki hakuna dhidi ya raia wake
Tunahitaji majibu juu ya mwili wa felister kilicho mkuta kabla ya umauti ,
Kuna pakuanzi kuchunguza ,
Kuna Kila uwezekano wa wahusika kukamatwa,
Vyombo vya dola kunyamaza itakuwa ni unafiki dhidi usalama wa raia , kwani ni jukumu lao kulinda raia na Mali zake

TISS iko wapi kwani
uwepo wa vyombo kipelelezi si ni kuhakikisha usalama dhidi ya raia wake .
Labda tu waamue kunyamaza

Kama hii kesi ingekuwa ni kujua chanzo Cha kisima
Basi ni kutafuta kujua ilipo chemchem tu.

R.I.P FEL P
My C*
 
Marehemu(R.I.P) alikua anaimba(msanii)?...
 
WATU WALIOFANYA TUKIO KAMA HILI HAWAFAI HATA KUKAA JELA HAWA INAFAA KUWACHINJA HADHARANI
 
Nimewaeleza hapo juu kabisa hawa ni vijana wenye tabia ya kubaka simply kubaka no other reason akishabaka anapata hofu anaua . Tabia ya kubaka IPO sana kaskazini Knjaro Arusha toka miaka ya 80 nikiwa mdogo mpaka wabibi walibakwa na kuuawa.

Jana nimeona Arumeru wamama wamebakwa na kuuawa katk eneo Fulani . hakuna sababu ni kubaka tu.

Ngono si kitu rahisi sana kaskazini kama kusin na mashariki . Vijana wakitaka ngono na bangi zao wanabaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…