Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Kama mtu mzima anastahili kutukanwa ni sawa tu.

Tena mtoto anayekaa na mtu mzima anayestahili kutukanwa, halafu mtoto asimtukane huyo mtu mzima ovyo, huyo mtoto atakuwa anafanya kosa la nidhamu ya kinafiki.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii nchi ni ngumu sana katika ukombozi wa kifikra.

Yaani huyo denti katoa maoni yake wala hajatukana mtu ila anaonekana katukana.

Kwahiyo hiyo elimu anayoipata application yake aifanye wapi?

Kwani mmesahau O'level wanafundishwa somo la uraia na general studies kwa advance.

Wanachama wa vyama vya siasa huwa wanatokea utotoni.

Automatically huyo binti yeye hakubaliani na mfumo wa uongozi uliopo sasa, tatizo lake ni nini? Au tunataka watoto wote wawe machawa wakati tupo kwenye nchi ya vyama vingi?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom