Unaweza kutoa taarifa bila kualika watu vizuri tu,hivi viongozi wanavyo toa taarifa kwenye page zao za mitandao huwa wamealika mtu pale?Utatoaje taarifa bila kualika watu? Halafu tangu lini mzaha ukawa kosa kisheria? Na Kama taarifa ilitumwa kwenye grupu la wasap Nani anajukumu la kusimamia maudhui?
Salama sana.... Huyo waliyemkamata ni zwazwa...Na unajiona uko salama?
Kiongozi we serikali bungeni unamjua?Sheria namba ngapi? Tusirishane matango pori,
Kwa hilo Jina lake tu la Ubini ( Ukoo ) la Sanane Kazi anayo na Mziki atauona pia.
Mwanafunzi ndio ashitakiwi akifanya kosa tena ukizingatia ni mwanafunzi wa chuo kikuu sio wa zanaki secondary.Huyu Ni student anazo haki zake za msingi wacha kesi iungurume msije Anza kutumia msg za vitisho hakimu, na October mnakutana nae kwenye ubunge
TaharukiTaarifa sahihi ni ipi? Askari wamejuaje kuwa hio taarifa sio sahihi? Je, ilileta madhara gani kwa jamii?
GroupsSi wanasema whatsp iko safe sasa wamejuaje details za mtumiaji mpaka kujua alipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya watz 50m+ tumepima 300+ tunasema hamna ugonjwa Ni uzushi tu, hebu tuacheni utaniTaarifa za mitandaoni kuhusu Corona, na taarifa za serikali, zote kitakwimu hazina uhakika. Tunazipokea za serikali kama takwimu rasmi, juu ya uhakika ni issue nyingine. Kosa kubwa la taarifa za mitaani ni kukosa uhalali na uthibitisho. Nazo za serikali hazina uthibitisho kisayansi. Idadi ya watu waliopimwa ni ndogo sana. Kwa idadi ya watu tuliopo nchini ndio wazushi wanapoibuka na kusema serikali inaficha idadi. Kwa maoni yangu serikali haifichi, bali haijui, inaijua idadi ya wagonjwa waliothibitika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo Cha kufunga mashule na kuwafurumua makwao watoto wameathirika mno, hawataki hata kwenda dukani, akija mgeni wanakimbilia chumbani, wanaona kaja na korona, huyo binti hakuwa na dhamira mbaya, Ni hysterical tu iliyomtuma kuwaza hivyo badala yakumpeleka ustawi wa jamii wakamfanyia ushauri nasaha anapelekwa gerezani ili akapambane na korona vizuri, ukweli Ni uamuzi wa hovyo Sana uliofanywa na watu wenye akili timamuKwaiyo wewe umeona ubini..
Yani wwww hivi uwa una Hakili maana nikisema akili nitakua nakutukana,
Yani mtu kafanya kosa tena kwa kukusudia wewe unasema jina la ubini ndio litkalo mponza..
Hebu fikili hata kama mtoto, 'Kama asingetenda kosa,Je!? Nani angemkamata!? Jina lake ni nani angelitaja kwenye makosa..!?
Yani Unaandika Rubbish tu.
Jingilimbi wewe.
Tena pita mbali nami..kausha kama hujaona hii reply, Hapo kidogo nitaona unatanukakifikla
Kukumbulikon'to ..
Ni Bora tukaambizana kuwa wako miambili kumbe wako sita kuliko kuambiana wako Tisa kumbe wako elfu mojaTaarifa za mitandaoni kuhusu Corona, na taarifa za serikali, zote kitakwimu hazina uhakika. Tunazipokea za serikali kama takwimu rasmi, juu ya uhakika ni issue nyingine. Kosa kubwa la taarifa za mitaani ni kukosa uhalali na uthibitisho. Nazo za serikali hazina uthibitisho kisayansi. Idadi ya watu waliopimwa ni ndogo sana. Kwa idadi ya watu tuliopo nchini ndio wazushi wanapoibuka na kusema serikali inaficha idadi. Kwa maoni yangu serikali haifichi, bali haijui, inaijua idadi ya wagonjwa waliothibitika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna taarifa sahihi, kuna taarifa rasmi. Kama serikali au mitandao au watu mitaani wanadai wana taarifa sahihi , naamini si kweli.Taharuki