FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Idadi inyotolewa si ya wagonjwa wa Corona walio active tu, bali ni comfirmed cases zote tangu ugonjwa uingieNafikiri ingekuwa sahihi kusema tuna wagonjwa 24 wa corona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi inyotolewa si ya wagonjwa wa Corona walio active tu, bali ni comfirmed cases zote tangu ugonjwa uingieNafikiri ingekuwa sahihi kusema tuna wagonjwa 24 wa corona.
Itakuwa alituma kwenye group wenzie wakamchomaSi wanasema whatsp iko safe sasa wamejuaje details za mtumiaji mpaka kujua alipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baki huko hukokweli Tanzania sirudi
Hahaha hahahSasa wao si wakanushe tu kwa kusema kuwa siyo kweli?!
Kisha wamuonye aache kupotosha watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani yaweza kuwa typing error alitaka kuandika 23 na wa 4, akaandika 230 siunajua hizi Tecno muda mwingine inabadili maneno yenyewe, unaandika neno "kama" inalibadili linakuwa "koma" hao waliokufa mmoja kazinduka angefanyaje Sasa,Kwa msomi wa mwaka wa tatu kukosa kujua mipaka ya kuchapisha habari kwenye mtandao ni kitu kibaya Sana. Ila si ajabu Kama hawahawa wasomi ndiyo daily tunaona video zao za utupu mtandaoni maana yake hilo ni tatizo la kutokujitambua Kama wasomi.
Ukimuuliza mtu kwanini ukubali kurekodiwa video ya utupu anakwambia, it was my boyfriend who did it, I didn't know if he could be that stupid kuiweka mtandaoni. Nyoookoo stupid yeye au wewe uliyerekodiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli usijekuta shinyanga magroup hayafiki kumi, dar utachungulia mangapi? Kuanzia walio kwenye karantini Hadi mashabiki wa zuchuInshu ndogo sana hiyo.....we mwananchi ndo inabidi ujue chanzo cha taarifa ya ukweli ni kipi.....watakamata wangap sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga tuKachomwa huyo na one of the group members, magroup haya hasa ya shule yana watu wa aina ile ile tuliosoma nao mashuleni (spies), ila sasa hivi wameadvance
Kutoa taarifa lazima uitishe press conference?Wapi binti kaitisha press conference? Kaka Kangi alisema magroup ya WhatsApp Ni vijiwe sawa na jf Ni kijiwe tu na utani mzaha unaotolewa haina athari, hivi grupu la watoto washule Lina madhara gani kiusalama?
Watoto wa shule gani?Wapi binti kaitisha press conference? Kaka Kangi alisema magroup ya WhatsApp Ni vijiwe sawa na jf Ni kijiwe tu na utani mzaha unaotolewa haina athari, hivi grupu la watoto washule Lina madhara gani kiusalama?
Wacha apelekwe tu,ila waziri kisheria mamlaka anayo na hata kama hana ila kapewa na waziri mkuu ruhusa ya kufanya analo fanya sasa hiviBinti akipelekwa mahakamani waziri ataiambia mahakama Kama yeye anayo hayo mamlaka
Huyu Ni student anazo haki zake za msingi wacha kesi iungurume msije Anza kutumia msg za vitisho hakimu, na October mnakutana nae kwenye ubungeWatoto wa shule gani?
Kama huyo binti ni wa chuo kikuu utasema ni mtoto huyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria namba ngapi? Tusirishane matango pori,Wacha apelekwe tu,ila waziri kisheria mamlaka anayo na hata kama hana ila kapewa na waziri mkuu ruhusa ya kufanya analo fanya sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia snowden aliyekimbilia russia.Uhuru wa kutoa maoni upo; lakini una mipaka yake. Siyo kwamba unaweza kusema cho chote tu hata kama kinaleta taharuki kwenye jamii. Ndiyo maana hata Marekani mnayoisifia kuwa na uhuru wa kusema, mpaka leo inamfuatilia mtu wa wikileaks;
na si kwa sababu alisema uongo, bali kwa sababu alitoa siri za serikali. Huo ni mfano mmoja tu wa kwamba uhuru una mipaka yake. Wapo wengi tu wanaoshikiliwa au kufuatiliwa na Marekani kutokana na walichokisema.
Ndiyo; kwa mtazamo wangu. Kwa nini unadhania takwimu za mtu binafsi ndizo za kweli ambapo waziri anayepewa takwimu kutoka pembe zote za nchi takwimu zake ziwe si sahihi? Simple logic.
Utatoaje taarifa bila kualika watu? Halafu tangu lini mzaha ukawa kosa kisheria? Na Kama taarifa ilitumwa kwenye grupu la wasap Nani anajukumu la kusimamia maudhui?