Robbykan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 509
- 469
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah nakuunga mkono taarifa zake akadhibitishe mahakamani.Acha uzembe wa kuwaza na ushabiki. Serikali inatoa taarifa zake kila mara kupitia wizara ya afya na PM, sasa hizo za kwake ataenda thibitisha mahakamani na ataonesha makaburi na vyeti vya kifo kwa hao watu wanne vikiwa na sababu ya kifo kuwa korona
Akadhibitishe mahakamani hao 230 kawatolea wapi na vifo vya watu 4 mdada wa watu kajiingiza kwenye matatizo makubwa asipo zibitisha jela inamuhusu.Imeleta taharuki, si sahihi kwa sababu idadi sahihi ilishatangazwa na waziri wa Afya, ni 32, au 230 ni sawa na 32?
Polisi wametekeleza majukumu yao kwa kutumia sheria ya mitandaoHizi nguvu za kupambana na hawa watu minor tungezielekeza kwenye kupambana na Covid - 19
Usikute na uchaguzi mkuu aliipigia ccm.Huyo malaika alijisahau kuwa anaishi kwenye nchi ya kidikteta! Ukitaka kujua kuwa unaishi kwenye nchi ya kidikteta tumia facebook au whatsapp kutoa maoni yako
Kwahiyo takwimu za wagonjwa ni siri za serikali ?Uhuru wa kutoa maoni upo; lakini una mipaka yake. Siyo kwamba unaweza kusema cho chote tu hata kama kinaleta taharuki kwenye jamii. Ndiyo maana hata Marekani mnayoisifia kuwa na uhuru wa kusema, mpaka leo inamfuatilia mtu wa wikileaks;
na si kwa sababu alisema uongo, bali kwa sababu alitoa siri za serikali. Huo ni mfano mmoja tu wa kwamba uhuru una mipaka yake. Wapo wengi tu wanaoshikiliwa au kufuatiliwa na Marekani kutokana na walichokisema.
Anasoma degree ya kiswahili, labda katumia ngeli ngumu hatujamwelewa, bakita watatusaidia kutoa ufafanuzi wa kilichoandikwa, hivi ukilazwa wodini kwa uangalizi inaitwa Nani? Au mgonjwa Hadi atundikwe drip?angetoa ushahidi wa hao watu 230 waliogua na 4 waliokufa kama alivyosema angekuwa sahihi Kama hauna ushahidi huo huyo dada ajiandae na kuingia kwenye mikono ya sheria.
Kwani walioko chini ya uangalizi Ni wazima? Madaktari watapeleka ushahidi mahakamaniHuyo dada ni mpumbavu Sana Bora angekuwa na ushahidi wa hao 230 waliogua ugonjwa wa Corona na hao 4 waliokufa mahakamani angepona.
Watoto badala yakuwa shule wanapelekwa mahakamani kwa utani wamitandaoni, mumpeleke mloganzila na magufuli hostel akawahesabie wagonjwa Kama hawatatimia, kwanza anaetusomea idadi ya wagonjwa hajawahi kuwa hata nurse inawezekana binti Yuko sahihi,
Akithibitisha huyo idadi itabidi hao wanaotudanganya wajiuzulu, vifo hao waliokula keki wao hawamo au?Akadhibitishe mahakamani hao 230 kawatolea wapi na vifo vya watu 4 mdada wa watu kajiingiza kwenye matatizo makubwa asipo zibitisha jela inamuhusu.
Wamkamate kigogo wa Twitter aliyesema Dada etu kafa, sio kuhangaika na second year, mumefunga chuo na bado mnawafatilia majumbani kwao, nasisi tuliochaniwa makochi na watoto wa boarding tufanyeje?Polisi wametekeleza majukumu yao kwa kutumia sheria ya mitandao
Wapi umeona siri za mgonjwa zinatolewa hovyo na hata kama zikitolewa kuna mipaka yake we si unaona waziri wa afya akitoa taarifa hatoi jina anataja makazi na umri unafikiri ni kwa nini hajataja majina?
Kutaja wagonjwa lazima kua nurse au daktari?unajua anayetoa taarifa anazitoa wapi?Watoto badala yakuwa shule wanapelekwa mahakamani kwa utani wamitandaoni, mumpeleke mloganzila na magufuli hostel akawahesabie wagonjwa Kama hawatatimia, kwanza anaetusomea idadi ya wagonjwa hajawahi kuwa hata nurse inawezekana binti Yuko sahihi,
Wagonjwa wanapaswa watajwe na daktari nasio mtu Baki, serikalini Kuna mganga mkuu wa serikali huyo ndio atuambie, hao akina makonda Ni uvumi tu na sio taarifa za kitabibuKutaja wagonjwa lazima kua nurse au daktari?unajua anayetoa taarifa anazitoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mtu kutaja wagonjwa wako 230 hizi ni siri za wagonjwa au najibizana na hooligan ?Wapi umeona siri za mgonjwa zinatolewa hovyo na hata kama zikitolewa kuna mipaka yake we si unaona waziri wa afya akitoa taarifa hatoi jina anataja makazi na umri unafikiri ni kwa nini hajataja majina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani binti kamtaja mtu jina?Wapi umeona siri za mgonjwa zinatolewa hovyo na hata kama zikitolewa kuna mipaka yake we si unaona waziri wa afya akitoa taarifa hatoi jina anataja makazi na umri unafikiri ni kwa nini hajataja majina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dada kajitakia mwenyewe TCRA walitangaza kabisa na kutoa onyo group za WhatsApp zitakazotumika kusambaza au kusema uongo watachukuliwa hatua za kisheria lakini pia waziri wa Afya amekuwa akijitokeza na kutoa msisitizo pale tu anapata nafasi ya kuzungumzia Corona haruusiwi mtu yoyote kutoa taarifa zaidi idara yake na Raisi.Pamoja na matamko hayo yote dada yate kayapuuza na kajitia mjuaji sasa mwache aisome number.Wamkamate kigogo wa Twitter aliyesema Dada etu kafa, sio kuhangaika na second year, mumefunga chuo na bado mnawafatilia majumbani kwao, nasisi tuliochaniwa makochi na watoto wa boarding tufanyeje?
Taarifa sahihi ni ipi? Askari wamejuaje kuwa hio taarifa sio sahihi? Je, ilileta madhara gani kwa jamii?
Boris Johnson kapitishwa kwenye machela watu wamemrekodi na kupeana, sisi Ni kosa la kumpeleka mtu jela, Tena tunahitaji kitoto Cha shule, waliosema Gloria Michael kafa mbona wao hawasakwi?Huyo dada kajitakia mwenyewe TCRA walitangaza kabisa na kutoa onyo group za WhatsApp zitakazotumika kusambaza au kusema uongo watachukuliwa hatua za kisheria lakini pia waziri wa Afya amekuwa akijitokeza na kutoa msisitizo pale tu anapata nafasi ya kuzungumzia Corona haruusiwi mtu yoyote kutoa taarifa zaidi idara yake na Raisi.Pamoja na matamko hayo yote dada yate kayapuuza na kajitia mjuaji sasa mwache aisome number.
Hapa ndio namkumbuka tundulissuAkadhibitishe mahakamani hao 230 kawatolea wapi na vifo vya watu 4 mdada wa watu kajiingiza kwenye matatizo makubwa asipo zibitisha jela inamuhusu.