Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

Acha uzembe wa kuwaza na ushabiki. Serikali inatoa taarifa zake kila mara kupitia wizara ya afya na PM, sasa hizo za kwake ataenda thibitisha mahakamani na ataonesha makaburi na vyeti vya kifo kwa hao watu wanne vikiwa na sababu ya kifo kuwa korona
Yah nakuunga mkono taarifa zake akadhibitishe mahakamani.
 
Uhuru wa kutoa maoni upo; lakini una mipaka yake. Siyo kwamba unaweza kusema cho chote tu hata kama kinaleta taharuki kwenye jamii. Ndiyo maana hata Marekani mnayoisifia kuwa na uhuru wa kusema, mpaka leo inamfuatilia mtu wa wikileaks;

na si kwa sababu alisema uongo, bali kwa sababu alitoa siri za serikali. Huo ni mfano mmoja tu wa kwamba uhuru una mipaka yake. Wapo wengi tu wanaoshikiliwa au kufuatiliwa na Marekani kutokana na walichokisema.
Kwahiyo takwimu za wagonjwa ni siri za serikali ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angetoa ushahidi wa hao watu 230 waliogua na 4 waliokufa kama alivyosema angekuwa sahihi Kama hauna ushahidi huo huyo dada ajiandae na kuingia kwenye mikono ya sheria.
Anasoma degree ya kiswahili, labda katumia ngeli ngumu hatujamwelewa, bakita watatusaidia kutoa ufafanuzi wa kilichoandikwa, hivi ukilazwa wodini kwa uangalizi inaitwa Nani? Au mgonjwa Hadi atundikwe drip?

Nimeenda kukaguliwa corona ila majibu bado Hadi siku 14 nitaitwa mgonjwa?
 
Huyo dada ni mpumbavu Sana Bora angekuwa na ushahidi wa hao 230 waliogua ugonjwa wa Corona na hao 4 waliokufa mahakamani angepona.
Kwani walioko chini ya uangalizi Ni wazima? Madaktari watapeleka ushahidi mahakamani
 
Hilo litajulikana mahakamani atakapo enda kujitetea

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto badala yakuwa shule wanapelekwa mahakamani kwa utani wamitandaoni, mumpeleke mloganzila na magufuli hostel akawahesabie wagonjwa Kama hawatatimia, kwanza anaetusomea idadi ya wagonjwa hajawahi kuwa hata nurse inawezekana binti Yuko sahihi,
 
Akadhibitishe mahakamani hao 230 kawatolea wapi na vifo vya watu 4 mdada wa watu kajiingiza kwenye matatizo makubwa asipo zibitisha jela inamuhusu.
Akithibitisha huyo idadi itabidi hao wanaotudanganya wajiuzulu, vifo hao waliokula keki wao hawamo au?
 
Polisi wametekeleza majukumu yao kwa kutumia sheria ya mitandao
Wamkamate kigogo wa Twitter aliyesema Dada etu kafa, sio kuhangaika na second year, mumefunga chuo na bado mnawafatilia majumbani kwao, nasisi tuliochaniwa makochi na watoto wa boarding tufanyeje?
 
Watoto badala yakuwa shule wanapelekwa mahakamani kwa utani wamitandaoni, mumpeleke mloganzila na magufuli hostel akawahesabie wagonjwa Kama hawatatimia, kwanza anaetusomea idadi ya wagonjwa hajawahi kuwa hata nurse inawezekana binti Yuko sahihi,
Kutaja wagonjwa lazima kua nurse au daktari?unajua anayetoa taarifa anazitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutaja wagonjwa lazima kua nurse au daktari?unajua anayetoa taarifa anazitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa wanapaswa watajwe na daktari nasio mtu Baki, serikalini Kuna mganga mkuu wa serikali huyo ndio atuambie, hao akina makonda Ni uvumi tu na sio taarifa za kitabibu
 
Wamkamate kigogo wa Twitter aliyesema Dada etu kafa, sio kuhangaika na second year, mumefunga chuo na bado mnawafatilia majumbani kwao, nasisi tuliochaniwa makochi na watoto wa boarding tufanyeje?
Huyo dada kajitakia mwenyewe TCRA walitangaza kabisa na kutoa onyo group za WhatsApp zitakazotumika kusambaza au kusema uongo watachukuliwa hatua za kisheria lakini pia waziri wa Afya amekuwa akijitokeza na kutoa msisitizo pale tu anapata nafasi ya kuzungumzia Corona haruusiwi mtu yoyote kutoa taarifa zaidi idara yake na Raisi.Pamoja na matamko hayo yote dada yate kayapuuza na kajitia mjuaji sasa mwache aisome number.
 
Taarifa sahihi ni zile zinazotolewa na mamlaka zilizo haralishwa na government yetu, wamejua sio sahihi kwa sababu vyavzo vya taarifa sahihi vinasema Tanzania tuna wagonjwa 30+ na vifo +3 sasa yeye mtu mmoja tu kusema tuna wagonjwa 200+ na vifo +4 hii taarifa yake sio sahihi,madhara kwa jamii ni kuwa hii taarifa ambayo sio sahihi inaweza leta taharuki katika jamii pamoja na msongo wa mawazo kwa wafu,lakini pia watu wanaweza ichukia government kwa kuamini kuwa inaficha taarifa,
Taarifa sahihi ni ipi? Askari wamejuaje kuwa hio taarifa sio sahihi? Je, ilileta madhara gani kwa jamii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada kajitakia mwenyewe TCRA walitangaza kabisa na kutoa onyo group za WhatsApp zitakazotumika kusambaza au kusema uongo watachukuliwa hatua za kisheria lakini pia waziri wa Afya amekuwa akijitokeza na kutoa msisitizo pale tu anapata nafasi ya kuzungumzia Corona haruusiwi mtu yoyote kutoa taarifa zaidi idara yake na Raisi.Pamoja na matamko hayo yote dada yate kayapuuza na kajitia mjuaji sasa mwache aisome number.
Boris Johnson kapitishwa kwenye machela watu wamemrekodi na kupeana, sisi Ni kosa la kumpeleka mtu jela, Tena tunahitaji kitoto Cha shule, waliosema Gloria Michael kafa mbona wao hawasakwi?
 
Back
Top Bottom