mh! babu acha wale washikaji wanapesa..😅Padre akifaulu huo mtihani anapata KAZI? Na kazi hiyo analipwa Tsh ngapi?
Na akilipwahuo mshahara anaupeleka wapi?
sababu ya kujaza Sana habari negative Kwenye akili zaoAlikuwa hafai kuwa Padre. Angetoka zake fresh tu Akaoa.
Tatizo la Msongo wa Mawazo linazidi kuwa kubwa Tanzania hii. Wengine hawajinyongi sema wanakufa Taratibu kwa stress hasa wanaume
Alichoshwa na CHAPUTADr Slaa alikimbia hiyo Job
Sababu hakuwa na wito bali mkumboDr Slaa alikimbia hiyo Job
Halafu kumbe ewe mgawia watu vifo uhangaike na cha nani?Wewe hangaika na kifo cha Raisi
Mbona nawafahamu waliofeli na wakatudi mtaani now wameoa na Wana familia kabisa yeye kwanini ajinyonge?
Sisi tunafurahi maana Israel imeonesha makucha yake na kuita hilo jambo dogo. Tahadhari, jifiche maana Wayahudi wanamitafuteniHalafu kumbe ewe mgawia watu vifo uhangaike na cha nani?
Sisi tunafurahi maana Israel imeonesha makucha yake na kuita hilo jambo dogo. Tahadhari, jifiche maana Wayahudi wanamitafuteni
Mkuu unaishi na padri mtaa gani🤣🤣🤣Vifo vya hivi vina mengi nyuma ya.
Sijajua huo mtihani unakuwa mgumu kiasi gani ikizingatiwa hao waliofaulu na kuwa mapadre ni wakaida mno huku mtaani mara nyingi tunashindana nao kwa hoja ila kwa ile heshima ya kichungaji aliyo nao tunawapotezea tu.
Kule dini ya mababu zetu asingefeli maana hata vilaza huongoza imani. Wangekuwa na mitihani na wanafeli basi angejilipua kufa na wengine na si kujinyonga