Kumbuka ufute nyuzi zako za zamani ili wasikufate Wayahudi1. Si tulishakubaliana kuwa kifo hushangiliwa na wapumbafu?
2. Au nyie ni wale wazuri msiokufa?
Hii habari ndio inanifanya niamini mapadri huwa wanafanya umalaya kuliko watu wenngine wote, yaani mtu ujinyonge kisa umekwepeshwa na jela ya maisha?Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye mazingira ya eneo wanalosoma (Magamba alipokuwa akiishi).
“Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni kwamba alifeli masomo yake, akiwa ndiye Mwanafunzi pekee kati ya wote waliofanya mitihani.
“Alikuwa na umri wa Miaka 25 na kinachofanyika kwa sasa ni uchunguzi wa Jeshi la Polisi kuendelea ili kubaini kama kulikuwa kitu kingine kilichosababisha afanye maamuzi hayo.”
Amesema chanzo cha kujinyonga kwake kinadaiwa ni kufeli mtihani wake uliokuwa unampeleka kwenye Daraja la Upadri ambapo wenzake wote wamefaulu kasoro yeye.
Hivyo, kutokana na msongo wa mawazo ndiyo akafikia uamuzi huo wa kujinyonga,” amedai Kamanda Mchunguzi.
Amesema Polisi wanaendelea na uchunguzi wa kifo hicho na ukikamilika, taarifa kwa umma itatolewa.
ALIANZA ASKOFUMwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye mazingira ya eneo wanalosoma (Magamba alipokuwa akiishi).
“Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni kwamba alifeli masomo yake, akiwa ndiye Mwanafunzi pekee kati ya wote waliofanya mitihani.
“Alikuwa na umri wa Miaka 25 na kinachofanyika kwa sasa ni uchunguzi wa Jeshi la Polisi kuendelea ili kubaini kama kulikuwa kitu kingine kilichosababisha afanye maamuzi hayo.”
Amesema chanzo cha kujinyonga kwake kinadaiwa ni kufeli mtihani wake uliokuwa unampeleka kwenye Daraja la Upadri ambapo wenzake wote wamefaulu kasoro yeye.
Hivyo, kutokana na msongo wa mawazo ndiyo akafikia uamuzi huo wa kujinyonga,” amedai Kamanda Mchunguzi.
Amesema Polisi wanaendelea na uchunguzi wa kifo hicho na ukikamilika, taarifa kwa umma itatolewa.
Kumbuka ufute nyuzi zako za zamani ili wasikufate Wayahudi
MUNGU amtunze mapumzikoni kijana wake wa kiimani kabisaView attachment 2996105
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa...
Itakuwa Nyege zilimzidi akawa anatongoza masista warembo akasahau kusomaKwamba wenzake wooote wamefaulu kasoro yeye tu!!!! mmmhh
Naoma Fr. Deusi kamla kichwa mchaga mwenzake wa kibosho, Holly ghost Hawana utani, Brother alitorokaga pale Oaklands Magamba enzi hizo za Shayo,Duu, Huyu itakua vigezo vya Wito tuu ndio amekosa, Advance pale USA river alikua vizuri sana, ni # 2/3, leo hii uniambie Amekua wa Mwisho out of 14?
Sijui hili darasa lina nini, namba 1 naye hivyo hivyo alijimaliza kwa kuambiwa hawezi kuendelea..
Poor young soul.....😌😌View attachment 2996105
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye mazingira ya eneo wanalosoma (Magamba alipokuwa akiishi).
“Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni kwamba alifeli masomo yake, akiwa ndiye Mwanafunzi pekee kati ya wote waliofanya mitihani.
“Alikuwa na umri wa Miaka 25 na kinachofanyika kwa sasa ni uchunguzi wa Jeshi la Polisi kuendelea ili kubaini kama kulikuwa kitu kingine kilichosababisha afanye maamuzi hayo.”
Amesema chanzo cha kujinyonga kwake kinadaiwa ni kufeli mtihani wake uliokuwa unampeleka kwenye Daraja la Upadri ambapo wenzake wote wamefaulu kasoro yeye.
Hivyo, kutokana na msongo wa mawazo ndiyo akafikia uamuzi huo wa kujinyonga,” amedai Kamanda Mchunguzi.
Amesema Polisi wanaendelea na uchunguzi wa kifo hicho na ukikamilika, taarifa kwa umma itatolewa.
Poleni sana, kuna roho chafu ilipandikizwa hapoDuu, Huyu itakua vigezo vya Wito tuu ndio amekosa, Advance pale USA river alikua vizuri sana, ni # 2/3, leo hii uniambie Amekua wa Mwisho out of 14?