Ongezea wanakunywa sana 🍻🍺 Ila SIO kunywa kulewa tofautisha kunywa na kulewaRip. Ila mapadre wa katoliki wanaongoza kuwa na long life expectancy. Na pia mbali na madhaifu machche ya kidini , catholic ni moja ya taasis ambayo iko well stuctured organized iliyodumu kwa zaidi ya miaka 2000
Nimpate wapi binti kiziwiDuh, RIP
Yaan wewe umeona U hand some tu au SIO? Umekunywa 🍺 ngapi leo?Daah handsome hivyo alikua anaenda kuwa padri daah R I P
😆😆😆 sawa Z Anto Jr.Nimpate wapi binti kiziwi
Nina Imani yeye hajui hii
Huyu binti kiziwiii
Uuh mmmh mmmh binti kiziiwi
Hawawezi wakawa viazi kiasi hicho usiwachukulie km ni mafala sana ingawa Jamaa wanapiga sana 🍺🍻 vyombo, Fratelli hakupiga 🍺🤔?Je mapadri watasusa kumzika kama wanavyofanya Kwa watu wengine wanaojiua na wasioenda jumuiya
Unanikosha binti kiziiwi😆😆😆 sawa Z Anto Jr.
Uzi wa watu huu, hebu tuhamie kule uzi wa chitchat 🏃♀️🏃♀️Unanikosha binti kiziiwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii habari ndio inanifanya niamini mapadri huwa wanafanya umalaya kuliko watu wenngine wote, yaani mtu ujinyonge kisa umekwepeshwa na jela ya maisha?
Nakazia hapa, kazindikiwa Darasa.Kapelekwa huyoo...
[emoji847][emoji847][emoji40][emoji40]
Wanakuaga na Assessment ambayo inajumusha mambo yote wanayoyachunguza kipindi chote walichokua nawe, baada ya hapo unapewa barua ya kuweka nadhiri, usipopewa ndio basi. Na hicho ndio kilitokea kwake.Hakunaga mitihani novitiate ( mwaka wa kiroho). Itakuwa alikuwa na bifu na mlezi mojawapo wakaona sio kesi, ngojaa tukate kichwa.
Nasikiaa hata vile unatembea, lazima utembee kidingidingi, ukiwa unatembea kama BICHWA KOMWE - [emoji1787] upewi barua ya ku' profes.Wanakuaga na Assessment ambayo inajumusha mambo yote wanayoyachunguza kipindi chote walichokua nawe, baada ya hapo unapewa barua ya kuweka nadhiri, usipopewa ndio basi. Na hicho ndio kilitokea kwake.
mimi natingishaga wowowo hadi maparoko wanadondosha sakramentiNasikiaa hata vile unatembea, lazima utembee kidingidingi, ukiwa unatembea kama BICHWA KOMWE - [emoji1787] upewi barua ya ku' profes.