stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ongezea wanakunywa sana 🍻🍺 Ila SIO kunywa kulewa tofautisha kunywa na kulewaRip. Ila mapadre wa katoliki wanaongoza kuwa na long life expectancy. Na pia mbali na madhaifu machche ya kidini , catholic ni moja ya taasis ambayo iko well stuctured organized iliyodumu kwa zaidi ya miaka 2000
HIO sijasema Mimi nimeropokwa tu